Fahamu kuhusu ulinzi bora wa cctv and surveilance system na ujipatie yako

Marketer

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
261
55
HABARI WANAJAMVI?

Leo napenda kuwashauri kuhusu kutumia cctv n surveilance.

cctv and surveilance ni nini?
Hii ni system inayounganisha security camers, na dvr ambapo mtu aneweza kuona maeneo yote camera zilipo akiwa kwenye chumba cha control.

Kwanini unahitaji cctv and surveilance?

Majumbani
Hii itakupa ulinzi wa uhakika kwa nyie wenzetu wenye mijieneo mikubwa majumbani mwenu, mtu mmoja una heka zako mia, sasa ukifunga cctv mlinzi anakaa getini anona heka zote mia mara moja sio mpaka apige round.

Wale wenye mabinti zenu akitoroka akmuhonga mlinzi pesa we ukija kucheki unamuona tu kwenye cctv asubuhi

Wale mliowekwa wanted na wadeni, au na yeyote, msafara ukija nyumbani unauona toka mbali na kufanya maamuzi magumu kabla, kuliko kustukizwa.


Maofisini
Kama una kiwanda chako inakusaidia kuona, nani mdokozi, mlinzi gani anakula rushwa, nani analala saa za kazi, nani anaongea ongea sana, unafunga camera zako maeneo unayotilia shaka baaaasi! umemaliza

Supermarket/Mijiduka mikubwa
Hii itakusaidia kuona wateja wanaokuchakachua, na pale mapokezi akikwambia leo sijauza unacheki tu cctv yako unona nyomi ya watu wametia timu na kulipa.

Mnaopangisha Apartments/mijumba
Hii itawasaidia kuwaasure wateja kwamba nyuzi 360 zinaulinzi wa uhakika.


Bei zetu ni affordable na karibuni sana.

CLOSED CIRCUIT TELEVISION - CCTV PRICE LIST S/N DESCRIPTION MTC UNIT
PRICE
TZS
DIGITAL VIDEO RECORDER (DVR)
1.0 16 Channel DVR System with 1TB Hard Disk Storage Media 965,000.00
2.0 16 Channel DVR System with 500GB Hard Disk Storage Media 740,000.00
3.0 8 Channel DVR System with 1TB Hard Disk Storage Media 825,000.00
4.0 8 Channel DVR System with 500GB Hard Disk Storage Media 650,000.00
5.0 4 Channel DVR System with 1TB Hard Disk Storage Media 520,500.00
6.0 4 Channel DVR System with 500GB Hard Disk Storage Media 410,400.00
CAMERAS
1.0 Outdoor Cameras 15 – 80m range with night vision capability 510,000.00
2.0 Outdoor Cameras 20 – 60m range with night vision capability 425,000.00
3.0 Indoor Rotating Cameras 25 - 50m range with night vision capability 1,300,000.00
4.0 Indoor Rotating Cameras 25 - 50m range WITHOUT night vision capability 850,000.00
5.0 Indoor Cameras 25 - 50m range with night vision capability 250,000.00
6.0 Indoor Cameras 25 - 50m range without night vision capability 180,000.00
STORAGE MEDIA
1.0 500GB HDD Storage Media 160,000.00
2.0 1T HDD Storage Media 240,000.00
POWER SUPPLY UNITS
1.0 16 Ways Power Supply Unit 150,700.00


ContactsEmail: sales@microtelecomms.com Tel: +255 (22) 2461678
Website: Microtelecomms-MTC Mob: 0756323213/+255 787 289245
 
Haya mie naishi high density ipi inanifaa maana vibaka huku uswazini kwetu ni kiboko!
 
Mkuu,
Bei zako ziko juu kidogo. Hii imekuja wakati nikiwa nimetoka kufanya window shopping ya hutu tududu CCTV.
Nimeazimia nitaweka human CCTV kama ya pale Mlimani city
 
Mkuu,
Bei zako ziko juu kidogo. Hii imekuja wakati nikiwa nimetoka kufanya window shopping ya hutu tududu CCTV.
Nimeazimia nitaweka human CCTV kama ya pale Mlimani city

mdau bei inatokana na quality maanake vifaa vyetu ni vya uk, brand ya labgear, vety high quality, na original, jua njoo, mvua fatia camera ipo gado kabisa
 
haya mie naishi high density ipi inanifaa maana vibaka huku uswazini kwetu ni kiboko!


hahaaaaaa! Wewe weka fance ya umeme tu mdau, akigusa kanasa. High density chukua camera mbili sitakutosha lol!
 
hahaaaaaa! Wewe weka fance ya umeme tu mdau, akigusa kanasa. High density chukua camera mbili sitakutosha lol!
Umeme ukikatika si jamaa wataparamia,cctv unaweza kuweka backup power.
 
Mi napenda ya kumulikia wezi wa chumbani kwangu tu. Nataka nimkamate waifu redhanded. Inanifaa ipi mkuu?!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom