Fahamu haya kama wewe ni mvuta sigara

Nkoboiboi

JF-Expert Member
Oct 9, 2010
243
63
Nimekutana na link hii hapa........ What's In a Cigarette, 599 Ingredients in a Cigarette

Nikaona wana JF niwatahadhalishe wote wanaojinyoga bila kujua na serikali yetu bado inaendelea kuchukua kodi.... kutokana na sumu hizi 4,000 kwa gharama ya ujinga wa watu wake!!!!

Wengine wanajitetea eti kama sigara ingekuwa mbaya serikali ingeshazipiga marufuku...... sijui ule mswada wa kuzuia uvutaji hadharani ulisombwa na sunami ipi.... laakini oneni ujinga ulivyo gharama....(nimeona nikitafsiri nitapoteza core of the msg)..................


Perhaps this list of ingredients that are found in cigarettes is enough to make you want to quit smoking for good! There are more than 4,000 ingredients in a cigarette other than tobacco. Common additives include yeast, wine, caffeine, beeswax and chocolate. Here are some other ingredients:
Ammonia: Household cleaner
Angelica root extract: Known to cause cancer in animals
Arsenic: Used in rat poisons
Benzene: Used in making dyes, synthetic rubber
Butane: Gas; used in lighter fluid
Carbon monoxide: Poisonous gas
Cadmium: Used in batteries
Cyanide: Deadly poison
DDT: A banned insecticide
Ethyl Furoate: Causes liver damage in animals
Lead: Poisonous in high doses
Formaldehiyde: Used to preserve dead specimens
Methoprene: Insecticide
Megastigmatrienone: Chemical naturally found in grapefruit juice
Maltitol: Sweetener for diabetics
Napthalene: Ingredient in mothballs
Methyl isocyanate: Its accidental release killed 2000 people in Bhopal, India in 1984
Polonium: Cancer-causing radioactive element


Kama umeona msaidie na jirani yako..... Watetezi wa haki za binadamu mnasemaje kuhusu hili na wa-danganyika wanaotumia fedha zao kujinyonga!!!!!

Nawakilisha
 
Hii Kitu ni hatari sana. tatizo kubwa kuliko ni pale hata ukiwa karibu na mvutaji avutapo, maadhara pia yanakupata. ndo maana uganda ni marufuku kuvuta hadharani
 
Nafikiri hata hapa Tanzania ilitungwa sheria ambayo pia inazuia uvutaji sigara hadharani. Sheria husika itakuwa imetupiwa tu kwenye makabati maana sijawahi kusikia mtu amefikishwa mahakamani kwa makosa ya sheria hiyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom