Prodigal Son
JF-Expert Member
- Dec 9, 2009
- 1,067
- 699
Ukubwa wa nchi mzee ni ukubwa wa kiuchumi na nguvu ya kijeshi na sio ukubwa wa eneo tu!!! Japan ni kijisiwa kidogo hakifiki hata 1/3 ya china but kinajulikana kama ni moja za nchi zenye nguvu kubwa ya kiuchumi na kijeshi wewe vipi mbona unatoka mapovu!!!!. Ingelikuwa hivyo mzee Brazil ina eneo kubwa kuliko England na Japan. Mataifa makubwa duniani yangelikuwa ni China, Marekani, Brazil, Congo, na Australia acha kufuka mzee!!!
Unataka kuniambia hufahamu tu wazanzibar wanataka nini!!! wanataka chao na uhuru wao!!! Kama muungano uwapo lakini kila mmoja na maamuzi yake na sio sasa hivi. Ikishindikana muungano uvunjike hauna faida kwa wazanzibari!!!
Chao nini? ni ubinafsi tu umewajaa hakuna jingine,,Nazungumzia ukubwa wa TANGANYIKA na mahitaji yake, huwezi linganisha mahitaji let say ya barabara kati ya tanganika na zanzibar, ndio nchi ni maskini na hata kama ni msaada hauwezi gawa sawa kwani misaada mingine inatolewa specific kulenga maeneo fulani, TATIZO LENU HAMJUI MNACHOKITAKA UBINAFSI NA UVIVU TU NDO UMEWAJAA, kuwa na mtazamo chanya siku mijitawala hakutakuwa na nchi inayoitwa zanzibar hilo nakuhakikishia