fad fundi

nimekaribia mwenzangu ila ctaki kuvimba kifua kama nimepigwa ngumi ya mgongo au kujifanya paka wa mpishi kujua kila msosi
HI

...................kukaribia tuu hakutoshi,uwe paka au umevimba kifua kwa sababu yoyote iwayo,...........sitosita kukujuza kuwa ukiona vyaelea ujue.....................,mgeni siku ya kumi...................,nikutakie siku njema na karibu tena jamvini......
 
<br />
<br />
ahsante jamani nimekaribia ati.sho me whch way to go nsije nikawa fundi ujenzi nikakaza kila jengo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom