kindogile Member May 22, 2012 18 3 May 28, 2012 #1 Naomba niulize kwa wanaojua eti faculty ya Actuarial sciences ukisoma Unaweza kufanya kazi gani na je, ina soko?
Naomba niulize kwa wanaojua eti faculty ya Actuarial sciences ukisoma Unaweza kufanya kazi gani na je, ina soko?
M Mathy laut nyami Member May 8, 2012 9 4 May 28, 2012 #3 Insurance and risk management so ni industry ya mambo ya bima
King’asti Platinum Member Nov 26, 2009 27,823 24,779 May 28, 2012 #4 Umeshawahi kusikia 'google'? Ndo kazi yake, FF amezoesha watu spoon feeding, gggrrrhhh!
The_Emperor JF-Expert Member Mar 23, 2012 871 125 May 28, 2012 #5 Oya kama una "ugonjwa namba"usitie cerebrum yako kwenye hiyo kitu!
Good Guy JF-Expert Member Oct 24, 2010 3,809 1,406 May 30, 2012 #7 jaman b kind,what happend 2 ،kuuliza c ujinga،. afrodenzi i mc ur kindness. Kijana jaribu kupitia link hiyoActuarial science - Wikipedia, the free encyclopedia Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
jaman b kind,what happend 2 ،kuuliza c ujinga،. afrodenzi i mc ur kindness. Kijana jaribu kupitia link hiyoActuarial science - Wikipedia, the free encyclopedia