Facts zinazotia aibu Nchi na za kushughulikia UPESI...

Chapakazi

JF-Expert Member
Apr 19, 2009
2,874
310
Kuna facts kadhaa huwaga kama vile zimefichwa, lakini hujitokeza katikati ya discussion mbalimbali. Katika hii thread ningependa wadau tuziweke hapa wazi kwa dhumuni la kurudisha sera ya Ukweli na Uwazi. Na Pili, kwa dhumuni la kuhakikisha zinafanyiwa kazi. Sisi kama wananchi (wenye haki ya kujua na kuhusika katika mipango endelevu) kututumia nafasi hii sio kwa kuponda tu, bali kuchangia katika ufumbuzi wake.
Kumbuka...nchi ni ya wote, hivyo solution sio lazima itoke Serikalini tu! As a private sector, we have to play our part. It begins by identifying the problem (hence the thread), then nominating solutions. Hivyo wadau, kazi kwetu...toa fact na source tafadhali. Mwenye solution...feel free to add. Kama mods wangependa, in the future kunaweza kukawa na jukwaa la kujadili mipango endelevu. For more, you can refer to:
https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/40809-the-need-for-a-forum.html

Pia itakuwa rahisi kwenye kampeni kuwauliza wagombea...'na hii fact mna mpango gani nayo?'


1.Nchi yetu ya Tanzania, huduma ya umeme inauwezo wa kuhudumia asilimia 12 tu na bado kunamgao.
imetoka hapa:
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/41138-kauli-ya-zitto-kabwe-juu-ya-mgawo-wa-umeme.html
 
Back
Top Bottom