FACTS 11: Kama wanasayansi wangesoma BIBLIA, Technology ya sasa ingekuwa Zamani Sana

MSEZA MKULU

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
3,752
5,494
Dunia inamchanganyiko wa kila aina ya Mlengo wa Maisha. Lakini Sayansi ni kitu ambacho kila kiumbe duniani kimenufaika nayo kwa kujua au kutokujua.

Ukisoma Bibilia kuna mambo ambayo Yangebadili kabisa dunia miaka mingi iliyopita na sio hizi karibuni. Pia ni kitabu sahihi kwa kufanya Scientific predictions.
Katika Bibilia kuna Ushahidi wa;

1PHYSICS;
AYUBU 38:19
lGCcJ.jpg

anazungumzia Mwanga upo katika Njia (unatoka mahala flani) na Giza lipo katika nafasi.
Katika Phsics imethibitishwa mwanga unatembea kwa speed ya 299 792 458 m / s na spidi ya Giza ni 0. hadi karne ya 16 Dunia ilijua mwanga Huwa unatokea tu yaani upo hauko katika mwendo. Ni mwaka 1675 Sir Isaack newton alipogundua Light packets ambazo zinamove.
Mungu alikwa ameshayasema hayo miaka zaidi ya 3000 iliyopita na anasema aliumba yeye.



maxresdefault.jpg

AYUBU38:35
Waweza kuutuma umeme, nao ukaenda, Ukakuambia, Sisi tupo hapa?
Umeme unatumika kutuma Ujumbe. Kila kinachofanyika katika mawasiliano ya yaani email, simu, kuchat, JF posting, Voice recording, sms, mawasiliano ya simu n.k ni Umeme.

Pia Umeme kwa maana ya RADI sio to ni flow of electricity bali pia inategeneza mawimbi la kielectromagnetiki (Electromagnetic Waves) ambazo zinatumika kusafirisha mawimbi ya sauti kutoka sehemu mija kwenda nyingine. Yote haya yalisemwa kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 4000 na Mungu akimweleza ayubu lakini karne ya 19 ndio walianza kugundua vitu hivi. Hata mwanasayansi NICOLA TESLA alipokuwa anajaribu kutuma signal (Umeme)huko marekani kwenye kituo chake, alishangaa anasikia sauti za ajabu akaanza kusema ni Maraika wanaongeo huko angani kumbe ilikuwa ni SIginal aliyokuwa anaipokea kutoka Italy ambapo mwenzak Marconi alikuwa anatest antena yake kurusha sauti kwa nji ya umeme.


2:OCEANOGRAPHY
4297224_orig.jpg

Ayubu 38:16
Mungu anamuuluza ayubu ni nani aliyeumba za bahari? kwa kiebrania neno lilitoumika hi NEBEK kwa maana ya Chemchem ndani ya bahari. Hii ni Ushahidi kuwa Chini ya Mwamba ambayo juu yake kuna bahari au chini ya earths crust kuna maji mengi tu. Kama inavyoelezwa Mwanzo 7:11 Kipindi cha gharika mengine yalitoka chini.
Mwaka 1977 Scientists kutoka Origan state university waligungua Shooting ya maku kama chemichemi. sehemu panapoitwa Galapagos Maili 2 kutoka chini ya bahari watu wa oceanography wanaiita hii kitu GEOTHERMAL VENT. Baadae nyingine zikaonekana Indian Pacific na North atrantic. Mungu kayasema hayo zaidi ya miaka 4000 iliyopita.
MAHALI PA SIRI PA VILINDI
maxresdefault.jpg


Zamani watu waliamini kutoka bara lingine kwenda lingine ni mchanga tu. 1875 waligundua kina chente 5.09 HMS CHALLENGER wanasayansi wa uingereza. 1899 USS NERO wakagundua kina chenye urefu wa 5.99 Miles Decemba 2011 British Royal Navy HMS CHALLENGER waligundua kina kirefu kabisa ambacho unaweza kuuweka mlima mzima wa Everest na bado ukawa hujafikia kwenye level ya sakafu ya bahari.
Haya Mungu kayasema miaka mingi kibao Yona 2:3

3:HYDROLOGY
drainage-basin-system.jpg

Muhubiri 1:7, Zaburi135:7,Amos 9:6
Jinsi gani Maji ya Mito Uingia bahari na Kurudi ulikotoka. Huu mchakato mzima umekuja kuwa wazi na kuhesimiwa kama kitu cha kusomwa na kubadili maisha ya watu karne ya 17. Laiti kama sayansi ingejisalimisha kwa Maandiko ya Mungu zamani Haya mambo dunia hii ya leo ingekuwepo miaka ya 300bc.

4:MATEOROLOGY (Study of Atmosphere and Weather conditions)
Ayubu 38:24 kuna concept inaelezewa kuwa mwanga unasababisha Upepo.
Mwanga unatoka juani, unatanua hewa na kusababisha upepo duniani.
land_breeze.gif

Muhubiri 1:6 Hapa panazungumziwa scientific concept iitwayo CORIOLIS EFFECT imegunduliwa 1912. Na hii Concept imesaidia pia kuinvent Baloon kama chombo cha usafiri. Karibu na Ikweta kuna joto na Kule Polar kuna baridi muhutasari wake Huo hapo chini.
101012-2.jpg


PIa MITHALI 8:26
While as yet he had not made the earth, nor the fields, nor the highest part of the dust of the world. Mavumbi ya juu ya ardhi kutokana na Tafsiri ya kwanza ya kiebrania.
Tunapata kitu kinaitwa CONDENSATION NUCLEI yaani huko juu ya dunia kunahitajika vumbi ili mvua au mawingu yatokee. Bila hivyo hakuna mvua wala wingu litakalotokea. Mungu aliumba hivyo vyote. Na concept hii hii wanasayansi wako maabara kujaribu kutengeneza mvua Jangwani.Have scientists discovered how to create downpours in the desert? | Daily Mail Online
735_151_722-condensation-nucleus-ice-nucleus.jpg

Yoote haya yameandikwa maelfu ya miaka ya nyuma kama wapenzi wa science wangependa kufuatilia hivi vitu Dunia ingekuwa hivi miaka mingi iliyopita.

5:ASTRONOMY/UNAJIMU
Isaya40:22 Dunia ni Duara. Yaani hili suala linasumbua watu kibao hadi kesho hadi humu JF. Na kuna wazushi wachache wakiongozwa na EVOLUTIONISTS JOHN DRAPER ANDREW DICSONWHITE waliingiza huu uongo zaidi miaka 1800. Na leo kuna chama duniani anakiongoza kinasambaza uongo dunia nzima kuiwa Dunia ni KAMA MEZA (Flat earth society).

World_topic_image_Satellite_image.jpg

Imeichukua dunia miaka kibao kujua siri iliyoandikwa kwenye mstari mmoja tu.

Pia YEREMIA33:22 Nyota haziesabiki. 1997 NASA haiwezekani kuhesabu nyota.

AYUBU 38:6-9 - Jee? Nyota zinaimba? Hii inatasiriwa kitheolojia tofauti lakini hata moja kwa moja ni kwamba Mwaka 1932 - NASA waligundua Nyota zinatoa RADIO WAVES na kuna mziki ndani yake. Na ni mziki ulio na mpangilio wa ajabu.Singing stars, huu ni mfano mdogo kabisa lakn tutarajie mengi.
celestial-music.jpg


Pia Dunia Inaelea, Ayubu 26:7 na ayubu 38:6
Hili linamethibitishwa miaka ya 1960 watu walipoanza kwenda anga za nje wakati tulishamaliza huu utata kwenye bibilia kitambo sana miaka 3000 Iliyopita. Kuna watu dini na wabishi wachache duniani walikuwa wanaamini dunia imebebwa na kobe hadi kesho wapo.
the_great_a__tuin_by_alvaramorrigan.jpg

bigstock-Earth-And-Moon-Floating-2017416.jpg

Dunia inaelea. haikuhitaji matrillion ya shillingi wakati ukweli huu upo zaidi ya miaka 3000 iliyopita. Hapa ndio unapata connection ya sayansi na imani.

6:BIOLOGY
WALAWI17:11 --MAISHA YA KIUMBE YAKO KWENYE DAMU YAKE. Kwa maana nyingine ukiacha damu itoke kuna uwezekano huyo kiumbe akafa. Sasa Dec 14, 1799 rais wa marekani George Washington alikufa kizembe kabisa kwa Medical treatment ambayo ilijumuisha kumtoa huyo mgonjwa damu kama njia ya uponyaji(BLOOD letting). Watu mamia walikufa wakidhani wanaokolewa. Mungu kusema hiyo alijua anamaanisha nini.
Tumepoteza marafiki wengi katika ajali kwa kutokwa na damu nyingi.
BloodlettingPhoto.jpg

bloodletting 1860

7:GEOMETRY na HESABU.
Geometria-Herodoto.gif

Ayubu 38:4,5 Ni nani aliyeamrisha vipimo vyake, kama ukijua? Au ni nani aliyenyosha kamba juu yake? Mungu ndiye Muanzilishi wa Hisabati, vipimo na Geometry.
2Nyakati 4:2 Hapa zinapigwa calculations. Katika hesabu hizi kutafuta mzingo haikutumika pai. waleta changamoto dhidi ya Mungu huwa wanatumia fungu hili kusema Mungu alikuwa haijui Pai. Wanasahau fungu hili 2Nyakati 4:5 wanashindwa kujua kulikuwa na duara mbili na kipenyo cha duara la ndani na la nje ni tofauti kwa kuzingatia unene kati ya maduara hayo 9.014 jibu utalopata ni sawa na mtu akitumia Pai. Pia Mungu aliwapa watu wachache vipaji vya heasbu katika ujenzi wa Hema ya kukutania na design nzima na kumtajia majina Musa watumie hao kukamilisha kazi yake huku akimpa dimensions na Materials ya kutumia kila kitu kikaenda kama kilivyopangwa.

8:GEOLOGY (Study of Rocks and earth)
rocks-cover2.jpg


Ukisoma Mwanzo7:8(Gharika dunia nzima), Mwanzo 7:18-19 (Maji yalicover dunia nzima), Mwanzo 7:21-23(wanyama,mimea,watu,vitu,ndge wote walifunikwa na kuzikwa chini ya maji), Mwanzo 7-8(Maji yalikaa juu ya uso wa dunia siku 371). Hili tukio ni kama Uchukue Jagi uweke maji kisha uchanganye udogo na michanga yenye sifa mbalimbali changanya kisha uache kwa muda kadhaa, utaona jinsi ambayo kuakuwa na matabaka yaliyojipanga kama sehemu nyingi za dunia zinavyoonekana.

9PALEONTOLOGY (study of fossil animals and plants)
Fossil-Graveyard-Carnegie-Museum.jpg


Kama vitu vyote mimea,watu,ndege,wanyama na vitu vyote vilizikwa(Mwanzo7:22-23),Unategemea nini kwenye huu mchakato? Jibu ni Fossilization . Hiki kitendo kinahitaji Kifo cha ghafla, kuzikwa ghafla na Presha kubwa.Kwa ufupi tunategemea kukutana na Fossils katika hizo layers au matabaka ya miamba.Hii inahitaji gharika kutengeneza fossils vinginevyo wangebaki juu na kuoza.Utakutana na konokono, samaki tena wengine wakiwa wakiwa na mimba wengine katikati ya kuzaa wamekufa na kukauka katikati ya miamba.

10: CHEMISTRY
ballgob-fig08_002.jpg


Watu binafsi hadi hapa tanzania wanaproject za kutengeneza mafuta, Kampuni uingereza wanatengeneza almasi kutoka kwa majivu vya umpendaye aliyekutoka, Kuna jamaa 1976 alitengeneza makaa ya mawe, Vyote hivi viliwezekana kwa concept za kilichotokea kwenye mafuriko ya nuhu. Ni rahisi na Muda mfupi sio miaka mamillioni kama tunavyoambiwa.http://www.lifegem-uk.com/

11:ARCHAEOLOGY
hqdefault.jpg

Kwa evolutionists makaa ya mawe alitokea miaka mamillioni yaliyopita kabla hata ya mtu, Ila leo ndani ya makaa ya mawe kumekutwa Cheni, Sarafu, silaha, vyombo vya kutumia, mikuki etc.Husikii vikitangazwa kwa sababu viko kinyume na wanavyofundisha madarasani. Vitu hivi na vingine vingi vinapatikana sehemu nyingi mno kila siku duniani na hadi wamefipa jina OOPARTS (Out of place artifacts). Haya yote ni matokeo ya tukio lililotokea miaka 4400 iliyopita TENA ZIMEKUTWA HADI SORE ZA VIATU KUNYESHA SIO MUDA MREFU ULIOPITA.

12:medicine
6_bild_National_Library_of_.jpg

WALAWI11
Mtu yoyote akiguza kitu kilichokufa, au afue nguo zake kabla ya kufanya chochote anawe awe safi kwa maji. Ignaz Phillip Semmelwies . alikuwa director wa Viena general Hospital Austrial, Mwaka 1847 aligundua hadi asilimia 3o Ya wanawake waliokuwa wanajifungua walikufa. Hii asilimia ilikuwa sio huko tu bali hata ireland, UK ,US etc. Alizama kutafuta sababu na kugundua Madaktari waliokuwa wanawahudumia wajawazito. Wakitoka kumuandaa mama aliyekufa walinawa na damu kwenye maji hayohayo na wengine hawakunawa kwa sababu waliona haina sababu.Dunia ya sasa hakuna Daktari atakayetoka kwa maiti na kwenda kumuhudumia mgonjwa aliyehai bila kunawa au hata kubadili mavazi. Hii ilikuwa ni matokeo ya utafiti wa huyu Ndugu lakini Mungu alishawaelekeza jamaa zamani sana.
 
1PHYSICS;
AYUBU 38:19
lGCcJ.jpg

anazungumzia Mwanga upo katika Njia (unatoka mahala flani) na Giza lipo katika nafasi.
Katika Phsics imethibitishwa mwanga unatembea kwa speed ya 299 792 458 m / s na spidi ya Giza ni 0. hadi karne ya 16 Dunia ilijua mwanga Huwa unatokea tu yaani upo hauko katika mwendo. Ni mwaka 1675 Sir Isaack newton alipogundua Light packets ambazo zinamove.
Mungu alikwa ameshayasema hayo miaka zaidi ya 3000 iliyopita na anasema aliumba yeye.



maxresdefault.jpg

AYUBU38:35
Waweza kuutuma umeme, nao ukaenda, Ukakuambia, Sisi tupo hapa?
Umeme unatumika kutuma Ujumbe. Kila kinachofanyika katika mawasiliano ya yaani email, simu, kuchat, JF posting, Voice recording, sms, mawasiliano ya simu n.k ni Umeme.

Pia Umeme kwa maana ya RADI sio to ni flow of electricity bali pia inategeneza mawimbi la kielectromagnetiki (Electromagnetic Waves) ambazo zinatumika kusafirisha mawimbi ya sauti kutoka sehemu mija kwenda nyingine. Yote haya yalisemwa kwa mara ya kwanza zaidi ya miaka 4000 na Mungu akimweleza ayubu lakini karne ya 19 ndio walianza kugundua vitu hivi. Hata mwanasayansi NICOLA TESLA alipokuwa anajaribu kutuma signal (Umeme)huko marekani kwenye kituo chake, alishangaa anasikia sauti za ajabu akaanza kusema ni Maraika wanaongeo huko angani kumbe ilikuwa ni SIginal aliyokuwa anaipokea kutoka Italy ambapo mwenzak Marconi alikuwa anatest antena yake kurusha sauti kwa nji ya umeme.


Inaendelea...
Nitarudi baadae, wacha nipige job kwanza
 
1In the beginning God created the heavens and the earth. 2Now the earth was formless and empty, darkness was over the surface of the deep, and the Spirit of God was hovering over the waters.

3And God said, “Let there be light,” and there was light. 4God saw that the light was good, and he separated the light from the darkness. 5God called the light “day,” and the darkness he called “night.” And there was evening, and there was morning—the first day.

6And God said, “Let there be a vault between the waters to separate water from water.” 7So God made the vault and separated the water under the vault from the water above it. And it was so. 8God called the vault “sky.” And there was evening, and there was morning—the second day.

9And God said, “Let the water under the sky be gathered to one place, and let dry ground appear.” And it was so. 10God called the dry ground “land,” and the gathered waters he called “seas.” And God saw that it was good.

11Then God said, “Let the land produce vegetation: seed-bearing plants and trees on the land that bear fruit with seed in it, according to their various kinds.” And it was so. 12The land produced vegetation: plants bearing seed according to their kinds and trees bearing fruit with seed in it according to their kinds. And God saw that it was good. 13And there was evening, and there was morning—the third day.

14And God said, “Let there be lights in the vault of the sky to separate the day from the night, and let them serve as signs to mark sacred times, and days and years, 15and let them be lights in the vault of the sky to give light on the earth.” And it was so. 16God made two great lights—the greater light to govern the day and the lesser light to govern the night. He also made the stars. 17God set them in the vault of the sky to give light on the earth, 18to govern the day and the night, and to separate light from darkness. And God saw that it was good. 19And there was evening, and there was morning—the fourth day.

20And God said, “Let the water teem with living creatures, and let birds fly above the earth across the vault of the sky.” 21So God created the great creatures of the sea and every living thing with which the water teems and that moves about in it, according to their kinds, and every winged bird according to its kind. And God saw that it was good. 22God blessed them and said, “Be fruitful and increase in number and fill the water in the seas, and let the birds increase on the earth.” 23And there was evening, and there was morning—the fifth day.

24And God said, “Let the land produce living creatures according to their kinds: the livestock, the creatures that move along the ground, and the wild animals, each according to its kind.” And it was so. 25God made the wild animals according to their kinds, the livestock according to their kinds, and all the creatures that move along the ground according to their kinds. And God saw that it was good.

26Then God said, “Let us make mankind in our image, in our likeness, so that they may rule over the fish in the sea and the birds in the sky, over the livestock and all the wild animals,a and over all the creatures that move along the ground.”

27So God created mankind in his own image,

in the image of God he created them;

male and female he created them.

28God blessed them and said to them, “Be fruitful and increase in number; fill the earth and subdue it. Rule over the fish in the sea and the birds in the sky and over every living creature that moves on the ground.”

29Then God said, “I give you every seed-bearing plant on the face of the whole earth and every tree that has fruit with seed in it. They will be yours for food. 30And to all the beasts of the earth and all the birds in the sky and all the creatures that move along the ground—everything that has the breath of life in it—I give every green plant for food.” And it was so.

31God saw all that he had made, and it was very good. And there was evening, and there was morning—the sixth day.
 
30 Reactions
Reply
Back
Top Bottom