FACT ya leo:Kissing each day will keep the DENTIST away...

Hahahaaaaaaa ngoja nicheke kwanza hao kwenye bold.....
Dah sawa hebu baadae mchana hivi msaidie basi kuweka bayana nia yetu ya kumsaidia huyu dogo....
Vivian anapata sana shida Kuwa single ila atafanyaje wote wanamuogopa!
We andaa mkakati na kikiwa tayari kirushe tu faster...

leo mmejitahidi kuzungumza mambo ya msingi...kweli ukubwa ni dawa...so far mm nifanye nn?au niwasikilizie wakuu wangu wa kazi sio?
 
leo mmejitahidi kuzungumza mambo ya msingi...kweli ukubwa ni dawa...so far mm nifanye nn?au niwasikilizie wakuu wangu wa kazi sio?
Ok sawa dogo tumekusoma...
Ngoja namtafuta faster....
 
Ok sawa dogo tumekusoma...
Ngoja namtafuta faster....

Ok , naona itifaki ya protokali imezingatiwa nimerudi na nimekikuta nilichokitaka mkifanye,
what next ?
Next naichukua mimi, wa kuurusha waraka wa propasal,
niko kwa gari now nikifika tu nendako mtu mzima naweka saburi chini, nafanza mambo! I'm sure tunapiga bao sioni mshindani istead of BAGAH !
Probably wajitokeze washiriki, then Maziwa mgando kama utapita hapa naomba jiandae nitakuhitaji katika kampeni hii .
 
Hahahaaa Maziwa mgando amesharudi kwenye hali yake ya kawaida kwa sasa anapatikana kikawaida....
Poa fanya mambo kijana....
Husny wapi?
 
Naona mnamsaidia shem wangu kupata jiko,kila laheri jaman naye atulizane sasa lol!
 
Hahahaaa Maziwa mgando amesharudi kwenye hali yake ya kawaida kwa sasa anapatikana kikawaida....
Poa fanya mambo kijana....
Husny wapi?

Husy yuko bafuni anaoga, akitoka hua ana nusu saa ya yeye na dresing table, nadhani akimaliza makwatuzi atashuka hapa.
 
Nitakuhitaji Canta! Uzi ukija utukolezee mahanjamm
s a w a s a wa ?
Sawa sawa bali ujue tu uwepo wangu kwa hiyo shuhuli ni ruhusa maalumu kutoka kwa mume wangu Rejao,
So any time akiinita kutaka kula kitumbua lzm niwatoroke nikamlishe mme wangu kitumbua chake,SAWA?
 
Sawa sawa bali ujue tu uwepo wangu kwa hiyo shuhuli ni ruhusa maalumu kutoka kwa mume wangu Rejao,
So any time akiinita kutaka kula kitumbua lzm niwatoroke nikamlishe mme wangu kitumbua chake,SAWA?
Hahahahaaa shemejiiiiiiiiiiii
 
Kwani hjui km Mme wangu ni Kidume cha ukweli,
Ndoa ilijibu siku ya pili hane muni lol!
Hapa anajiandaa kuitwa baba soon!!!
Hahahaaaa mimi na bibie bado tuna kula good time.....
Huo usumbufu wa nini mapema?
Lol si hatutaki kula malimao mapema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom