Mh... Sina hakika kama ni kweli bana, labda aje daktari hapa athibitishe au weka source basi shem..shemeji kinga iyo...inakuja na burudani juu yake!..
Dogo hadi jukwaa la siasa yumo....LolKumbe na kwenye afya pia upo?
Haya kazi kwako!
Waoooo....Fact ya leo nimeipenda shem!
Dogo si alikuambia niko safari?sio mahali pake hapa...hamkulala kitanda kimoja au?
Hahahaaaa na la wakubwa....bila kusahau la lugha!
Dogo yuko juu.Dogo hadi jukwaa la siasa yumo....Lol
Hadi la matangazo madogomadogo
Teh jana niliita jukwaa fulani la the kubwaz nikamkuta.....nilishtuka hadi nika-logoffDogo yuko juu.
Erick mkataze mtoto bana, jukwaa lake chit chat na joking only,Teh jana niliita jukwaa fulani la the kubwaz nikamkuta.....nilishtuka hadi nika-logoff
Hahahaaaa dogo anaonekana anapenda yale makitu....DahErick mkataze mtoto bana, jukwaa lake chit chat na joking only,
siku ingine ukimkuta mtoe na vibao alaaa!