FACT ya leo: Don't assume every GIRL you go out with...

so how do we know your different intentions?...especially kwenye outings!

Sometimes it's kinda hard to tell. . . unachoweza kufanya ni kuuliza/anzisha maongezi kuhusu hilo swala usikie toka kwa mhusika mwenyewe.
 
Sometimes it's kinda hard to tell. . . unachoweza kufanya ni kuuliza/anzisha maongezi kuhusu hilo swala usikie toka kwa mhusika mwenyewe.

Word Aunt!..
um so happy to see you Lizzy!..it hs bn a while..uh?
nani alikuficha aisee!.?
 
When was he single?
Hiyo status si inaweza kubadilika wakati wowote?Naamka nikiwa single, nalala nikowa kwenye relationship.
Hahahaha, true Lizzy. Namtania tu. Kuna siku niliona anmuomba Husninyo if she could be his valentine nikafurahi kweli. Fang hataniwi ila siku ile alitania (or alimaanisha?)
 
Ni kweli saa nyingine mtu anakuwa na kampani nzuri wasichana wanapenda, saa ingine wanakuona ni safe kuepuka stress za mapenzi au commitment, saa ingine una ushauri mzuri, saa ingine unapenda sifa na kuflas hela zako pia tunapendaga kutumia hizo fursa kukufurahisha kwa kuzitumia na kukusifia
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom