FACT ya leo: 95% of WOMEN shave their privates...and 16% of men do...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
hiyo ni fact tafadhali...tusije tukakamatana mashati hapa...LOL
jpili njema GTs
 
We bagah hizi facts unazitoa wapi?!
Btw...So GROSS! Wanaume just 16%?! Mmmh.
 
lol...so gross? teheee...ndo ivo bana matokeo hayo hatuwezi kuyapinga...Ericky inamuhusu hii sio?
 
nyingine si mtaongezea bana!..au?kwan vidume si tuko wengi humu asee!

Eee bwana umesha confirm kua unaondoka leo ?
Kama itakua mchana ndiyo depature, ratiba itakua imenitata, kwakua coz niko site , nasimamia uendeshaji na mafundi wangu wezi kisenzi ! Ukila kona tu, wao wanapona ! Mifuko miwili mi3 ya cement kwao ni kama kupaka slesi siagi .
 
haya bana tumejua unajenga, hongera ! Mbezi Beach au Masaki !?
 
Eee bwana umesha confirm kua unaondoka leo ?
Kama itakua mchana ndiyo depature, ratiba itakua imenitata, kwakua coz niko site , nasimamia uendeshaji na mafundi wangu wezi kisenzi ! Ukila kona tu, wao wanapona ! Mifuko miwili mi3 ya cement kwao ni kama kupaka slesi siagi .

nakuelewa uzuri brah!..ndo naenda kunako usafiri sasa...see you some other time Jg!
simamia hao watu...wanadokoa mbaya!wanahakikisha ww ukimaliza kujenga na wao walau wanaanza msingi.
 
Back
Top Bottom