Elections 2010 Fact: Church, the Force Behind CHADEMA's Popularity; will the holy union last longer?

Status
Not open for further replies.
Cha ajabu nikwamba nami bila kuuma ulimi)
Maneno yoooote yanaosemwa kuhusu udini yameanzishwa na wenye chuki na Chadema na hasa waliogopa nguvu ya Dr. Slaa.

Kwa vile Dr. alikuwa Mkristu, na alishikla nyadhifa za juu katika kanisa kubwa duniani, walitaka kumdhoofisha kwa kutumia sheria ya kanisa hilo, jambo ambalo halikuleta mabadiliko yoyote kwa maendeleo ya CDM.

Meseji za uzushi zilitumwa na watu wa ngazi za juu kuchochea maada ya udini lakini wapi wa TZ hawakusikia lolote. Dr. Akashamiri.

Ila Ukweli ni kwamba Ndani ya CCM wamelizana na wao wenyewe wakatoa siiri zao kumpa mtu mwenye nguvu Dr. Slaa. Mbowe Boss wake Slaa hakuwa na nguvu ya aina ya Dr. na ndiyo maana Kaitwa Dr. wa ukweli. kifupi CCM pamoja na wewe woooooote ndo mano huo U ANTI- SLAA NA MANJIFICHA KWENYE UKRISTO KUMWEKA SLAA.

wengine walisema eti bado ni Padre, wengine eti askofu hadi magazeti ya Dhehebu hilo yakachapisha wazi wazi, lakini hayakuchukuliwa hatua, ingekuwa wao je, si tungeleta mtafaruku mkubwa.

Kwa kifupi nimesali makanisani hasa lile la Dr. Ilipigwa marufuku kumzungumzia mtu huyo kabisa na hawakusema lolote maana waumini wakle wengi wakiingia hadi na kofia za JK kanisani. utasemaje padri!!!!

CCM NA VIBARAKA WAO ACHENI KUIVURUGA CDM

Kabla ya kanisa kutoa waraka, Waislam si nao walitoa waraka wao?
Mbona husemi effect yake kwenye uchaguzi?
 
You are completely wrong!!!!
Wakati ule wa uchaguzi, nawasifu sana MODS walikuwa makini sana na mambo ya uchochezi kama ya udini. Hoja zilizokuwa hazina maana. Leo hata ukipost hapa hakuna madhara yoyote! Rais tunaye, na viongozi wote tunao!! hakuna madhara yoyote na lets talk

lakini mambo ya kizushi eti Dr. Slaa ni Askofu, lini kama si udaku wa wazi.
Kupokea ekaristi yenyewe hapokei, halafu awe askofu lini.
Nawasifu mods kwa kipindi kile. maana ccm walishindwa kwa hoja wakawa wanataka kuleta mambo yasiyokuwepo ili wambebeshe eti slaa kaleta udini. ACHENI KUTENDA DHAMBI HAMTAIONA PEPO NG'O!!!
and then we say JF is fair... shambulizi la chadema na udini linaachwa lakini yaklikuja ya JK na udini yakaondolewa

Sometime najiuliza why am i even waste my time visiting JF

lakini tutabanana humuhumu

MODS MNABOA
 
kaka nimejiunga baada ya uchaguzi. Nilikuwa kwenye forums zingine!
Nikali ninazo sms zingine pengine wakati wake haujafika. Nitazitoa. Penye ukweli tukubali ingawa inauma!!

Baada ya hapo tukae tujadili na tutafute muafaka kwa ajili ya nchi yetu.

Wakristo wengi walipiga "kura ya chuki" dhidi ya kikwete na sio ccm.

Biblia inaagiza "mpende adui yako".

Hivyo waliopiga kura ya chuki sio wakristo halisi bali " mashetani ndani ya ukristo". No matter who!
yAANI wewe kwanza naona sikuelewi kabisa, mimi ninasali na watu kibao wanaingia kanisani na nguo za JK kofia za JK sasa wewe unasema wamepiga kura za chuki, haafu MODS wakifuta post yako unashangaa, huu si uzushi?
Angalia sehemu nyingi ambazi JK amepita bila kupingwa ni zile za wakristu zaidi, na wamepiga kura nyingi zaidi kuliko hao unawazungumzia!

Wewe si Great Thinker you are in a wrong site au unakosa link mhimu sana. maana kikwete kawekwa na wakristu wengi kuliko hao waislamu wenzie. Yaani Dr. Slaa tu anawafanya muwe ivi Jamani. Kumbukeni Wakristu tunahubiri amani siku zote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom