Elections 2010 Fact: Church, the Force Behind CHADEMA's Popularity; will the holy union last longer?

Status
Not open for further replies.
fabrication in full force!
Mbona usiitoe wakati wa vuguvugu?...mwongo sana wewe...mdini...wa kuogopwa kama ukoma!

kaka nimejiunga baada ya uchaguzi. Nilikuwa kwenye forums zingine!
Nikali ninazo sms zingine pengine wakati wake haujafika. Nitazitoa. Penye ukweli tukubali ingawa inauma!!

Baada ya hapo tukae tujadili na tutafute muafaka kwa ajili ya nchi yetu.

Wakristo wengi walipiga "kura ya chuki" dhidi ya kikwete na sio ccm.

Biblia inaagiza "mpende adui yako".

Hivyo waliopiga kura ya chuki sio wakristo halisi bali " mashetani ndani ya ukristo". No matter who!
 
and then we say JF is fair... shambulizi la chadema na udini linaachwa lakini yaklikuja ya JK na udini yakaondolewa

Sometime najiuliza why am i even waste my time visiting JF

lakini tutabanana humuhumu

MODS MNABOA
 
Kama wewe hujui Biblia Nyamaza Kimya. Lini kikwete alikua adui ya watanzania? Acha kutumia mistari ya Biblia ndivyo sivyo.
 
Hapo ndipo kwenye tatizo. Watu hawa hufurahia ku-associate vyama vingine na udini kwa lengo la kuvi-discredit. Lakini hawana ujasiri wa kukubali ukweli ambao mpaka sisi huku wilayani tunaujua. Nasema, Church deserves credit for the CHADEMA's popularity. Hamuwezi kulinyang'anya kanisa haki yake hii,limefanya kazi kubwa.
Issue ilikuwa political dyamics, come 2015 kama CCM watasimamisha mgombea urais mkristo. Na CCM hawatakosea katika hili, what will happen to church-led CDM supporters?
For a red part, Time will tell, and noone here is a foreseer or a soothsayer....no room for magic here bro!
Be patient!
Na pia napenda nikuulize, Je kadhia ya UFISADI uliojitokeza enzi hii ya JK huoni kama ni agenda ya kuiondoa CCM, bali wewe unaona udini tu?...I thought that we are fighting a common enemy, kumbe wengine mnapigana na KANISA!
 
and then we say JF is fair... shambulizi la chadema na udini linaachwa lakini yaklikuja ya JK na udini yakaondolewa

Sometime najiuliza why am i even waste my time visiting JF

lakini tutabanana humuhumu

MODS MNABOA

Hahahahaah mkuu usilalamike tu chukua hatua! Ponyeza kitufe watapoteza bandiko
 
Bila kuuma uma maneno, ni ukweli usiopingika kuwa kanisa limetoa mchango mkubwa katika kuifikisha CHADEMA hapa ilipo leo hii.
Umaarufu wa CHADEMA uliongezeka mara dufu kufuatia kanisa kutoa 'waraka' ambao jamii ya kikristo iliutafsiri vema.
Najua kuna watu watabisha kwa nguvu zote hili lakini ukweli utabaki kuwa huo. Kisingizio kuwa CHADEMA kina viongozi imara sasa hakina ukweli kwani ni viongozi hawa hawa waliokuwepo 2005 na mwenyekiti Mbowe aligombea urais.
Pia hoja ya ufisadi ndani ya CCM haina nguvu sana kwani ufisadi mwingi ulifanyika kwenye awamu zilizopita mbona CDM haikupata umaarufu huo?
Nadhani directly au indirectly kanisa liliamua kuiadhibu serikali ya awamu ya nne kwa kuvunja 'memorundum of understanding'

Mimi hofu yangu ni come 2015 elections, CCM wana turufu ambayo kama wataitumia na wameiweka kimkakati, political landscape in TZ will not be the same. Turufu yenyewe ni CCM kumsimamisha mgombea wa urais mkristo.
  1. Kanisa litaacha 'holy union' na CDM ili kufufua memorundum of understanding na serikali ya huyo mgombea?
  2. Waislamu ambao sasa wanaunga mkono CCM wataendelea kukiunga mkono ili kulinda maslahi yao?
  3. Wale walioenda CDM kwa wito wa kanisa watabaki huko, au watarudi kutetea maslahi serikalini?

Ni kweli maana tulishuhudia viongozi wa Kanisa wakimtetea Slaa kwa kitendo cha kuiba mke wa "Mtu"

Hapo ndipo kwenye tatizo. Watu hawa hufurahia ku-associate vyama vingine na udini kwa lengo la kuvi-discredit. Lakini hawana ujasiri wa kukubali ukweli ambao mpaka sisi huku wilayani tunaujua. Nasema, Church deserves credit for the CHADEMA's popularity. Hamuwezi kulinyang'anya kanisa haki yake hii,limefanya kazi kubwa.
Issue ilikuwa political dyamics, come 2015 kama CCM watasimamisha mgombea urais mkristo. Na CCM hawatakosea katika hili, what will happen to church-led CDM supporters?

heart_shit_game.jpg
 
and then we say JF is fair... shambulizi la chadema na udini linaachwa lakini yaklikuja ya JK na udini yakaondolewa

Sometime najiuliza why am i even waste my time visiting JF

lakini tutabanana humuhumu

MODS MNABOA

Hatuwezi kuuma maneno halafu tudai tuko huru. Uhuru maana yake pia ni Uhuru wa kutoa mawazo kisha tujue tatizo lilivyo na ndipo tutafute Mustakabali mzuri wa nchi yetu. TUSIFIKE MAHALA TUKASEMA TANZANIA HAKUNA WENYE HEKIMA!

IF YOU KNOW THE PROBLEM THEN YOU SOLVE IT! UKIKUNA JIBU SIKU LIKIPASUKA MTATAFUTANA KWA HARUFU YAKE!
 
Ndugu wa jf naomba nitoe angalizo hapa naamini ninachokifahamu na kuamini ni kweli tupu.

Watanzania wakumbuke mambo ya uchaguzi ya mwaka 1995...ccm na vibaraka wao walikuwa na hoja yao moja ya kuwa danganya wananchi dhidi ya nccr na mgombea wao mrema (haimaanishi kuwa nilipenda mrema awe rais lakini nabase kwenye facts). Ccm walihubiri ukabila (uchaga), fujo, uchanga wa nccr na vita vya rwanda. Mwisho wa safari walifanikiwa na wakaendelea kusherekea

mwaka 2000 ccm na vibaraka wao walihubiri udini wa cuf, fujo, upemba wao na kubebwa na waarabu pamoja na uchanga wa cuf. Baada ya ushindi walifurahi na kusherekea kwa kwenda mbele.

Ikumbukwe chaguzi zote mbili za mwaka 1995 na 2000 chadema waliiunga mkono nccr (1995) na cuf (2000) katika nafasi ya urais na wakasifiwa na ccm na vibaraka wao kwamba ni chama makini kwa kutokuwa na papala za kugombea urais.

Mwaka 2005 ccm na vibaraka wao walihubiri udini wa cuf, upemba wao na kubebwa na waarabu pamoja na uchanga wa cuf. Kama kawaida baada ya kushinda kwa walichokiita wa kishindo walisherehekea na kufurahi kwa kwenda mbele.

Mwaka 2010 ccm na vibaraka wao wamehubiri na kuihusisha chadema na udini (ukiristo), , fujo na ulipizaji visaji. Nyimbo za udini wa cuf (uislam) haukusikika popote zaidi walikuwa kipenzi chao. Nguvu yote ya ccm na vibaraka wao waliielekeza kwa chadema na bado wanaiendeleza katika chaguzi za uongozi wa halimashauri za miji, manispaa na majiji. Na bado wengi wa watanzania tena welevu wameingia mtego na kukumbatia hoja za watawala bila kupima hoja na kuchanganua kwa kufuata facts pamoja na mazingira.

Hii ni hatari hasa kama watu wataendelea kudakia hoja za udini bila kujua kuwa ni mtego wa ccm na vibaraka wao.

Poleni sana kwa wale mlioamua kuchukuwa na kumeza kila linalotoka ccm na vibaraka wao bila kupima pumba na mchele.

Nawasilisha.
 
Sipendi mada hii kabisa. suala la nani kuchagua chama gani au nani kamsaport nani katika uchaguzi uliopita si jambo la muhimu kwa sasa.
Ila nasikitishwa na baadhi ya SMS ambazo zilikuwa zikitumwa na watu mbalimbali zikiwa na malengo tofauti.
mfano ni SMS hii.

"SMS TOKA MEZA KUU; WAPENDWA KATIKA BWANA: WAKRISTO, MAASKOFU WAMEPINGA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA JUMAPILI, CHADEMA WAMETUUNGA MKONO, HILO NI JAMBO LA BARAKA NA PIA KURA ZETU HAKUNA KUIPA CCM YA KIKWETE ANAYEWADEKEZA WAISLAM WENZAKE KWA KUWAPA VYEO,OIL NA MAHAKAMA YA KADHI, TUKIJIPANGA TUTAING'OA CCM WANI KURA ZA WAISLAMU WENZAKE ZIMEGAWANYIKA CUF NA CCM, WENGINE WANAPINGA KUPIGA KURA NA HILO NI BARAKA KWETU, TUZIDISHE MAOMBI KWA KRISTO MUNGU MKUU NA MWOKOZI WETU ILI KIKWETE NA WAISLAMU WAZIDI KUGAWANYIKA. MUNGU WABARIKI WAKRISTO, MUNGU IBARIKI TANZANIA"

Nilishtuswa na SMS hii pengine nikasema huenda inatoka Usalama wa taifa. lakini nikawa nasikia MIITO mingi kutoka Makanisani eti Tusichague Chama bali Tuchague MTU. Nikajisemea, Huenda SMS ile ni Kweli.

Ninaye babangu mdogo: yeye ni Mkristo. baada ya kutoka Kupiga Kura alisema; NIMESHAUA! mshenzi yule harudi Madarakani!

Nikajisemea Moyoni "NI MUNGU GANI ANAYEWEZA KURUHUSU MWASHERATI KUONGOZA NCHI??". SI TUNAKARIBISHA LAANA???
Huo ujumbe ulikuja kwako ili kuamsha hasira na kukufanya ubadili msimamo, na aliyekutumia alijua madhaifu yako ya kutoweza kupembua mambo. Tena kama bado unadhani iliandikwa na MKRISTO unakosea sana.
 
MS .... DSM... Y.Y ndio wale wale ......wanauotuchangaya na hoja zao zisizo na root ... please potezea thread hii.... with incrustation... mods seal this thread with silicon agent...

mimi na wewe ndo hatuna hoja tukae pembeni tuwaache wenye hoja kuliko kukurupuka na kuconclude mambo kihivyo.....vipi kama muulizaji angetaka kujua kuhusu CCM?
 
Huo ujumbe ulikuja kwako ili kuamsha hasira na kukufanya ubadili msimamo, na aliyekutumia alijua madhaifu yako ya kutoweza kupembua mambo. Tena kama bado unadhani iliandikwa na MKRISTO unakosea sana.

Kaka soma vizuri ujumbe na uuelewe. nenda pale IRINGA uulize mtu yeyote MAHUBIRI YA "RADIO MARIO" JUU YA UCHAGUZI!

SI NDIO HAO WALIKUWA WAKISEMA USIPOMCHAGUA DR. SLAA UNATENDA 'DHAMBI'.

KAKA hayo mambo yana Mashiko. tuyapime na tuangalia mbele.

LAKINI PIA TULIONA KUNDI LA MAASKOFU NA BAADHI YA MASHEIKH WAKIENDA KWA DR. SLAA NA PADRI MMOJA AKASEMA SUALA LA KUTOKUOA HALIZUII MTU KUWA RAIS. HATUKUONA ZIARA HIYO IKIENDA KWA WAGOMBEA WENGINE. INATIA SHAKA SANA.
 
Bila kuuma uma maneno, ni ukweli usiopingika kuwa kanisa limetoa mchango mkubwa katika kuifikisha CHADEMA hapa ilipo leo hii.
Umaarufu wa CHADEMA uliongezeka mara dufu kufuatia kanisa kutoa 'waraka' ambao jamii ya kikristo iliutafsiri vema.
Najua kuna watu watabisha kwa nguvu zote hili lakini ukweli utabaki kuwa huo. Kisingizio kuwa CHADEMA kina viongozi imara sasa hakina ukweli kwani ni viongozi hawa hawa waliokuwepo 2005 na mwenyekiti Mbowe aligombea urais.
Pia hoja ya ufisadi ndani ya CCM haina nguvu sana kwani ufisadi mwingi ulifanyika kwenye awamu zilizopita mbona CDM haikupata umaarufu huo?
Nadhani directly au indirectly kanisa liliamua kuiadhibu serikali ya awamu ya nne kwa kuvunja 'memorundum of understanding'

Mimi hofu yangu ni come 2015 elections, CCM wana turufu ambayo kama wataitumia na wameiweka kimkakati, political landscape in TZ will not be the same. Turufu yenyewe ni CCM kumsimamisha mgombea wa urais mkristo.

  1. Kanisa litaacha 'holy union' na CDM ili kufufua memorundum of understanding na serikali ya huyo mgombea?
  2. Waislamu ambao sasa wanaunga mkono CCM wataendelea kukiunga mkono ili kulinda maslahi yao?
  3. Wale walioenda CDM kwa wito wa kanisa watabaki huko, au watarudi kutetea maslahi serikalini?
Simply crap
 
kaka nimejiunga baada ya uchaguzi. Nilikuwa kwenye forums zingine!
Nikali ninazo sms zingine pengine wakati wake haujafika. Nitazitoa. Penye ukweli tukubali ingawa inauma!!

Baada ya hapo tukae tujadili na tutafute muafaka kwa ajili ya nchi yetu.

Wakristo wengi walipiga "kura ya chuki" dhidi ya kikwete na sio ccm.

Biblia inaagiza "mpende adui yako".

Hivyo waliopiga kura ya chuki sio wakristo halisi bali " mashetani ndani ya ukristo". No matter who!
Another crap at its best
 
Ukitaka kugombana na watu humu Jf basi sema kitu chohote kibaya kuhusu CHADEMA hata kama ni ukweli lakini watu watakupinga na kukushutumu mara 'umetumwa wewe' na maneno ya kashfa kibao.
Toa avatar ya huyo kibaraka mwenzio kwanza ili niwe nachangia post zako la sivyo sitasoma kabisa matundiko yako popote. Nasikia kichefuchefu nikimwangalia.
 
...

Nikajisemea Moyoni "NI MUNGU GANI ANAYEWEZA KURUHUSU MWASHERATI KUONGOZA NCHI??". SI TUNAKARIBISHA LAANA???

Hivyo tuseme sasa una amani kabisa ukiwa na uhakika kuwa Mungu kaepusha nchi kuongozwa na mwasherati, sio?
 
Whereas it's true chadema benefited quite a lot when the church came in the open to condem the self serving habits of the ruling elite, at the expense of the toiling masses, but that benefit emenated from the fact that what the church was saying corresponded with what chadema had been advocating all along. In other words the marriage between chadema and the church is rooted on principles and hence it's quite deep to withstand the onslaught of corrupt elements who are camping on this nation. As regards to the factors that enhanced chadema popularity this time around, it has something to do with the commendable job that was done by its handful parliamentarians, notably Dr. Slaa during the last parliament. Their revelation that the state machinery was behind all vices responsible for ordinary people's misery created made people yearn for a change of the guard.
 
yeah.

this is home.

home of the brave.

kwani Chadema kupendwa na Wakristo imekuwa nongwa?

mbona CUF kinapendwa na Waislamu hamsemi.

unafiki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom