Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,850
- 155,795
Kwetu sisi tunaosakasaka wenzi wa mahusiano yasiyo endelevu inatufaa sana, bravo kwa watumiaji wote wa mtandao huu.
Naona wanaopata faida na hii kitu ni wanaume.
Kwa watoto wa kike naona disadvantages ni nyingi kuliko faida.
Personaly, sijawahi kujiunga na hii kitu ila nawaona vijana wanavyo'complicate mambo na hiyo facebook.
nimefaidika kukutana na marafiki zangu tuliopotezana tokea tuko primary.
nimefaidika na kuendelea ku-keep in touch kwa urahisi na marafiki zangu wengine ambao sasa tunaishi nchi tofauti
nimeifadika ku-keep in touch kwa karibu zaidi na jamaa zangu ambao tunakaa mbali
nimeifaidika na 'umbea' wa hapa na pale hasa ule unaotokea Tz mimi nikiwa nje ya nchi ( it helped to kill time and not be akward in conversations pale unapokutana na wahusika...................mfano kumuuliza mtu bf wako fulani hajambo kumbe alishapigwa buti kitambo na watu wote wanajua ila wewe ulie nje ya nchi ...hehehe)
Hivi Face Book ni kitabu gani hicho? Ni kwaajili ya urembo au? Unajiunga au unakinunua?
Unawaonaje mkuu?Naona wanaopata faida na hii kitu ni wanaume.
Kwa watoto wa kike naona disadvantages ni nyingi kuliko faida.
Personaly, sijawahi kujiunga na hii kitu ila nawaona vijana wanavyo'complicate mambo na hiyo facebook.
hivi face book ni kitabu gani hicho? Ni kwaajili ya urembo au? Unajiunga au unakinunua?