facebook nayo

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,850
155,799
imagine mpenzi wako anamtu mwingine ambaye kakutana naye facebook....ukimuuliza anakana, wakati message zote zipo black and white, utamfanya nini...hataki kumuacha huku anakuhahikishia ni wewe anayekupenda. Mtihani huu
 
Achana na ma-facebook hayasaidii saana , na mara nyingi hupelekea migogoro na vifo kama unakumbuka kuna kijana alishauwawa uingereza kutokana na facebook
 
Kama utaanza kujaji mambo ya kitabu cha uso hakika hutakiwi kuwa na mpenzi wa kudumu kwa sababu utawaacha wengi tu.
 
Ndio kujifunza mkuu,Na mapenzi ni ugumu wenyewe ndio kama huo,Kama ni mwanamke wala usiwe na wasiwasi mkuu wewe tulia tu na wala usiangaike na mambo kama ya messeg ila kama ni kweli basi utakuja kujua tu bora kama yupo na wewe na mnaelewana!
 
kama anakuhakikishia hana uhusiano naye amini tu na jipe moyo mkuu. unaweza kuta wanaflit n nothing more
 
facebook ni mawasiliano kama simu, mail, barua za posta (za asili) n.k sasa kama mtu ana mpenzi kwenye facebook na wanawasiliana kimapenzi ujue sio mwaminifu ni sawa na kufuma msg za mapenzi kwenye simu tu maana ni njia za mawasiliano ambazo zinaweza kupelekea kufanya mapenzi

mie nilishaachana na facebook naona imekaa kiujana sana maana unakuta watu wanachukua picha zako mle wanaenda kutumia kwa manufaa yao binafsi wengine wanazi-publish kwenye blog zao wengine wanazitoa kwenye magazeti ya udaku na wengine wanazitumia kujichulia kwa kuzitazama na kuvutia feeling ni vurugu tupu
 
ndo maana nafanana na tumbili nikiwa huko... ujinga mtupu... . ma-selebu wetu ndo wamejazana huko!!:mad2:
 
kama facebook ndo mpenzi wake na atampenda kufa na kuzikana basi aachane na mie!!! no mix mix..:mad2:
 
ndo maana nafanana na tumbili nikiwa huko... ujinga mtupu... . ma-selebu wetu ndo wamejazana huko!!:mad2:
ma-selebu wa bongo wengi shule hamna wanakimbilia facebook kuuza sura na maisha yao binafsi wizi mtupu
 
Naona Hii Facebook ina matatizo sana eeee :confused2:
mie ngoja niendelee zangu na JF mpaka chatting room tumewekewa nahitaji nini zaidi:A S 8:
 
Sasa mbona umegoma kuchat na mimi? Hebu twende rum basi:smile-big:
 
Naona Hii Facebook ina matatizo sana eeee :confused2:
mie ngoja niendelee zangu na JF mpaka chatting room tumewekewa nahitaji nini zaidi:A S 8:

It all depends... facebook ukiitumia vizuri ina faida zake pia! (Remember; everything has an advantage and disadvantage)
 
Back
Top Bottom