Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,859
- 1,301
The set-up of facebook iself made it vulnerable to misuse. Mlitegemea nini kama kila mtu atakuwa huru ku-expose any private information! na kila mtu kuweza ku-access hiyo information? Wengi waliounganishwa na facebook hawakuwa marafiki wa kweli kwa sababu facebook iliruhusu na kushawishi kama rafiki yako kajiunga na rafiki mwingine na wewe unashawishiwa kujiunga na rafiki yake (whom you may not know anyway!).
Kuhusu watoto kukaa sana kwenye computers kwa ajili ya facebook, kuifunga itasaidia kidogo sana maana kuna site nyingi za kipuuzi ambazo vijana wataziangalia. Dawa ya kwanza ni kuwafamisha vijana kuwa mtandao ni zaidi ya hayo - waonyeshe sites za masomo, mijadara ya kimaendeleo na hata ya kisiasa nk. Kwa mfano JF ina kila forum nzuri -international, political, economic, science and technology, education, legal matters nk na mods wako makini kufunga thread yoyote inayoonekana kwenda kinyume cha maadili - vijana tuwaelekeze huko/humu.