Facebook blogspot

Jombi mbona umeweka link bila kuitolea maelezo ili imshawishi mtu kufuata hiyo link isije ikawa ule utaalamu tuliyofundishwa na mr KAMATA MWIZI MEEN! Wewe ndo unataka uutumie kuwahadaa watu. Binafsi nasikia blogspot ni mali ya google japo sifaham fb ni ya nani sasa nashindwa kuweka uwiano.
 
hapana Jombi, hapa hakuna utaalam wowote, lengo la kuweka link ni uone jinsi gani blogspot ilivyotengenezwa na kuwa kama facebook, hii inaweza kuwa somo kwa web designers wetu bongo kwamba panapo CSS hakuna kinachoshindikana.

fuata link uone zinavyofanana.
 
hapana Jombi, hapa hakuna utaalam wowote, lengo la kuweka link ni uone jinsi gani blogspot ilivyotengenezwa na kuwa kama facebook, hii inaweza kuwa somo kwa web designers wetu bongo kwamba panapo CSS hakuna kinachoshindikana.fuata link uone zinavyofanana.
hapo jombi nimekupata vizuri. Ngoja nifuate link nita com beki kwa mrejesho.
 
hivi hili neno permalink nini hata kwenye wasomiforum lipo @the geek
 
Lol! Jamaa wamefanya kazi ya ukweli.kwa jinsi nilivyoona ninaimani wamekwepesha kidogo tu kuifananisha kwa kila kitu ila jamaa wanaweza.sijui ni wachina?
 
hivi hili neno permalink nini hata kwenye wasomiforum lipo @the geek

A permalink, or permanent link, is a URL that points to a specific blog or forum entry after it has passed from the front page to the archives
 
its just a blogger template ktk blogspot, kama kuna m2 anataka hyo template just pm me ntaku2mia.
 
Back
Top Bottom