Facebook bhana!

chriss brown

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
292
63
Yani fb mtu kaenda mbuga za wanyama,ataandika,kapata mume mpya itaandikwa,kaachwa itaandikwa pia,mpaka kudo... wataandika sasa khaah.kule kweli kwa watoto nimeamini...naifagilia jf ipo juu..
 
huku mamoderators wanafanya kazi kubwa..! ingekua free zone hapa ungeshapakimbia zamani sana..!
 
kuna memba mmoja alipata kusema kuwa anashukuru jf admin kuondoa ile via mobile sijui alikuwa anamaana gani.

kwa upande wangu mi naona kuweka hivyo vitu nipoa sana ili tuwe wakweli ila hii ya maeneo sio nzuri kwa sababu ni uspy wa bila kujijua..
:director:
 
never on earth, fb hailinganishwi! kama hakufahamu ndo mtandao unaongoza duniani! we ulinganisha na jf! ni sawa na kilinganisha babu na mtoto kwa age!
 
unaongoza kwa kitu ganai? Au nawe unashabikia huo mtandao wa ki freemasons? Jf ni mwanzo mwisho kwetu sisi, jf kwa local web hapa bongo na huenda hata east africa unaongoza, its highly displinary network.
 
hukusema local web, bt fb unaweza mtafuta m2 mliepoteana toka nursery! shida ya hapa ni nick name nyingi, dingi anaweza akatoa mada ya manzi ake nawe ukachangia bila kujua!
 
Jf sio mtandao wa kukutana na kutafutana na kuchumbiana.....pole.
 
never on earth, fb hailinganishwi! kama hakufahamu ndo mtandao unaongoza duniani! we ulinganisha na jf! ni sawa na kilinganisha babu na mtoto kwa age!

dhamira ya fb na hata muundo na target zake ziko tofauti sana na JF.
I love JF and I am proud of it.
 
Jf kijasusi zaidi. Fb kirafiki zaidi. You can't compare, tusidanganyane. Mahitaji yako ndiyo yatakufanya uamuwe kipi bora kwako. Tuwache unazi na ushabiki. Ushabiki ndiyo unafanya hata Taifa letu lisiwe na sera wala muelekeo. Ingekuwa uraia wa nchi haubadiliki kama kabila, mi saa hizi nishakufa kwa mawazo na majuto ya kuzaliwa Mtanzania.
 
unaongoza kwa kitu ganai? Au nawe unashabikia huo mtandao wa ki freemasons? Jf ni mwanzo mwisho kwetu sisi, jf kwa local web hapa bongo na huenda hata east africa unaongoza, its highly displinary network.
Kudos!
si kila kitu cha mdhungu ni best kwa mbongo!
Kwa maelezo zaidi wasiliana na the Right Honorable David Cameron,cbe,mbe,vc,cbk.etc etc
 
Yani fb mtu kaenda mbuga za wanyama,ataandika,kapata mume mpya itaandikwa,kaachwa itaandikwa pia,mpaka kudo... wataandika sasa khaah.kule kweli kwa watoto nimeamini...naifagilia jf ipo juu..
usiulaumu mtandao wa FB...walaumu watumiaji..tena inawezekana hao ambao ni ma friends zako maana hao ndo wanaandika mambo hayo na sio mtandao ndo unafanya mambo hayo...mi si mtumiaji sana wa FB ila nilishaitumia sana tu kwa kufanya business zangu za kikazi..na bado naendelea kuitumia kwa shughuli hiyo tu...kuna watu wana business zao za maana tu pale FB na wanafaidika...pia kuna watu wanapata vitu vya maana tu hapohapo...inategemea wewe unatafuta nini...kumbuka ule ni mtandao huru wa kijamii na ukisema kijamii we mwenyewe unaelewa inamaanisha nini...!! so usiulaumu mtandao...laumu watumiaji wa huo mtandao(haswa hao rafiki zako wanaoweka hivyo vitu vya kishenzi na wewe kuviona)..kumbuka mle mle FB kuna watu wanatumia kama njia ya kupata habari mbalimbali mfano kuna hadi makanisa yanapost masomo yao au ibada zao live kwa wale wanaokuwa mbali na kanisa mda huo na watu wana benefit!! kuna majukwaa mengi tu ya maana..na isitoshe hizo post zote za kijinga si ni kwa sababu wewe mwenyewe ndo una comment kuchochea huo ujinga uendelee..unafkiri mfano ingekuwa hamna mtu anacomment kwenye status kama hizo kuna mtu angetuma tena?? Au kum discourage mtu kwa post yake (kama ambavyo mtu akipost utumbo humu JF tunavyomfanya) unafkiri nani angepost utumbo!?? so wakulaumiwa sio mtandao...bali ni hao marafiki zako na wewe mwenyewe ambao tayari mnaingia huko mkiwa na nia kabisa ya kutafuta upuuzi....
 
Jf kijasusi zaidi. Fb kirafiki zaidi. You can't compare, tusidanganyane. Mahitaji yako ndiyo yatakufanya uamuwe kipi bora kwako. Tuwache unazi na ushabiki. Ushabiki ndiyo unafanya hata Taifa letu lisiwe na sera wala muelekeo. Ingekuwa uraia wa nchi haubadiliki kama kabila, mi saa hizi nishakufa kwa mawazo na majuto ya kuzaliwa Mtanzania.

nimeipenda hii.
 
unaongoza kwa kitu ganai? Au nawe unashabikia huo mtandao wa ki freemasons? Jf ni mwanzo mwisho kwetu sisi, jf kwa local web hapa bongo na huenda hata east africa unaongoza, its highly displinary network.

Indeed it is...ndo maana hata watu wakiandika vitu vyenye viashiria vyakuwa nje ya maadili then vinafutwa...fb hakifutwi kitu,ukitukanwa ni lako black n white watu wote wanaona...picha za utupu zimejaa tele,mtu anaiweka kama profile pic halafu freeesh yaani..!!?? FB ni uwanja wa kuongeza stress kwa kweli...ila JF,unakutana na watu wapya kabisa mnabadilishana mawazo utacheka utasikitika ila kwa vitu vilivyo na logic... JF ipo juu!!!
 
Back
Top Bottom