Facebook:::A few minute near Tandale

Si wako busy wanaponda fb? Ila kila kukicha wanaomba fb name, ku-pm humu wanamuogopa eliza wa salasala,lol

Neno hilo watu wanafiki kweli,ndo maana nikadeclare kwamba mi natumia fb lkn kuna watu kama kina dar si lamu hawataki kukubali wakati wana accounts fb hata nne
 
Mimi natumia Blackberry hiyo option ni rahisi tu, sijui kwa kwa wanatumia PC au simu zingine zaidi ya Blackberry kama inawezekana. Ila kwa PC nafikiri ni vigumu. Subiri watalaam watakueleza

Ok kumbe ni kuiset tu na kama hautaki haiji,mie nilijua inakuja auto.
 
Hata ukijua, sidhani kama itakusaidia sana maana Fesibuku wanaindoa anyway. Kwa usalama sio nzuri kwa sababu mtu anaweza kufuata nyendo zako. Kama kwenye Tandika, halafu status yako inasema uko Mbagala na kuna mwizi anakufuatilia anaweza kwenda kwako na kufanya kweli. Pia kwa wale watu wa nyumba ndogo au vidumu hawakufurahishwa na hili. Mtu umeaga unakwenda Kigamboni halafu status yako inaonyesha uko Tegeta possibly kwenye nyumba ya wageni?

Ushauri mzuri
 
Huyo Eliza wa Tegeta ni Member humu Jamvini?
Naona anatajwa sana kwenye hii thread
 
Hata ukijua, sidhani kama itakusaidia sana maana Fesibuku wanaindoa anyway. Kwa usalama sio nzuri kwa sababu mtu anaweza kufuata nyendo zako. Kama kwenye Tandika, halafu status yako inasema uko Mbagala na kuna mwizi anakufuatilia anaweza kwenda kwako na kufanya kweli. Pia kwa wale watu wa nyumba ndogo au vidumu hawakufurahishwa na hili. Mtu umeaga unakwenda Kigamboni halafu status yako inaonyesha uko Tegeta possibly kwenye nyumba ya wageni?

Mpwa umenichekesha sana.... Ngoja nikaodoe hiyo option kabla sija fumaniwa!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom