Face book

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Naombeni msaada Wa jinsi ya kujiunga ili niongee na Mtu face to face Wa upande Wa pili live kwa kutumia Facebook.sim
 
mpigie cm, mpange sehem mkutane. Nafikiri hapo utakuwa umekutana naye face to face, kuliko hyo njia yako unaitaka ni ndefu sana
 
1. M-inbox huyo mtu via facebook ukimwuliza mahali alipo.
2. Mwulize kama kuna uwezekano wa yeye kukutana na wewe.
3. Baada ya kukutana mtaweza kuongea face to face kama unavyotaka.
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuongea face to face huku facebook ikiwa imefanikisha face to face communication.
 
Naombeni msaada Wa jinsi ya kujiunga ili niongee na Mtu face to face Wa upande Wa pili live kwa kutumia Facebook.sim

1.unatakiwa uwe kwenye pc,sijui kama kuna simu zinasupport hii mambo

2.huyo mtu wako anaatakiwa awe online

3.kama yupo online fanya kama unaataka kumtext ili kale kasehemu cha kuchat katokee pale chini

4.hapo utaona options ikiwepo video calling (itatokea kama kikamera hivi)

5.bonyeza hapo itakwambia uinstall drivers flani hivi,utadownload kupitia link watakayokudirect(hii step siyo ya lazima kama tayari drivers zipo installed)

6.install,kisha rudi fb,call tena itaanza kumpigia
 
Back
Top Bottom