Mtaalam
JF-Expert Member
- Oct 1, 2007
- 1,370
- 234
naona wamekuja na mbinu ya kujiangusha wakapata zawadi ya kadi za njano...saa zile mbinu ya karate iliwapa red card..
kijana nani kawafanyia dharau if not an insult kupiga danadana kwa kichwa akirudi golini kwake toka kati kati ya uwanja.....watu weweeeee