F1 Student Visa

Hukumuzuku

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
6,666
4,999
Kwa wale wenye experience ya kuomba F1 Student visa pale Consular Section, US Embassy, naomba ushauri kuhusu Student Visa Requirements
(haswa Documentation Requirements) za USA Embassy pale Dar.

Tuseme Mwombaji keshatumiwa Form I-20 na Chuo kutoka US

1. Jee, huwa wanadai kuwa mwombaji atoe ushahidi wa vyeti vya shule vya sekondari (original school certificates, transcripts etc)?

2. Jee, ni lazima mwombaji kutoa ushahidi kuwa atarudi Tanzania baada ya masomo?

3. Jee, ni lazima mwombaji aonyeshe TOEFL Scores hata kama shule anayoenda kusoma Marekani imemkubali bila kufanya mtihani wa TOEFL?

4. Ni maswali ya aina gani wanauliza kwenye Visa Interview?

Natanguliza shukrani zangu kwa msaada wenu!
 
Heheheheee..Njabu unataka kuzamia Nyamwezi...Lol...

Visa issuing officer nimesoma naye college na nimemwambia to deny your ass....so homeboy, your ass is grass

Halafu wewe una miaka 40, F-1 ya nini?
 
Heheheheee..Njabu unataka kuzamia Nyamwezi...Lol...

Visa issuing officer nimesoma naye college na nimemwambia to deny your ass....so homeboy, your ass is grass

Halafu wewe una miaka 40, F-1 ya nini?

Hiyo ni kwa mshikaji wangu. Sihitaji kuja US (I'm already living here!). Kalagabaho!
 
Hiyo ni kwa mshikaji wangu. Sihitaji kuja US (I'm already living here!). Kalagabaho!

Sasa wewe umekujaje hapa? Na visitors visa? Na kwa nini umehama kutoka Sweden? Umemfuata dada yako anayeishi hapa? Kwa nini usimwulize dada yako ambaye yupo muda mrefu hapa?

Na huyo mshikaji wako kwa nini asiende ubalozini kuulizia? Si wana customer service...
 
Data zote zipo kwenye website ya Ubalozi wa marekani.
 
Data zote zipo kwenye website ya Ubalozi wa marekani.

Hebu niwekee hiyo link yenye "data" kuhusu hii aina ya visa. Nimechunguza kwenye site yao lakini naona info waliyotoa ni general mno, na sioni inatosheleza kujibu maswali niliyouliza.
 
Sasa wewe umekujaje hapa? Na visitors visa? Na kwa nini umehama kutoka Sweden? Umemfuata dada yako anayeishi hapa? Kwa nini usimwulize dada yako ambaye yupo muda mrefu hapa?

Na huyo mshikaji wako kwa nini asiende ubalozini kuulizia? Si wana customer service...

Jaribu kuwa objective, sawa? Kama unaweza kujibu maswali niliyouliza, basi jaribu kufanya hivyo. Siyo unaniuliza maswali personal kama vile tunafahamiana! Wee vipi lakini!
 
Back
Top Bottom