F1! F1! F1!

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
Wajameni,

Naomba msaada wenu wakuu. Kuna mtu anaweza kupendekeza software inayoweza management ya online support? Idea ni kuwa na website ambapo wateja watapewa majibu ya maswali yao online.

Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Back
Top Bottom