Amepata F ya BAM O'level na A'level msaada wenu

Moshie

Member
Oct 4, 2015
33
19
Wakuu,kuna mdogo angu amemaliza kidato cha sita,amepata Div 1..EC B, GEOG B,HISTORY C (HGE) , tatizo linalo msumbua ni F yake ya math o'levo na A' levo alipata F ya BAM. Anataka asome BAED Economics&Geog,sasa kinachomchanganya ni hiz F za hesabu je,anaweza pata nafasi kwa kusomea ualimu wa ECONOMICS na GEOGRAFY pale UDSM? mawazo yenu yanahitajika wakuu tumsaidie huyu dogo.
 
Unapata 100%
Education awa consid bam .
Tena udsm 100% utacmpete kama TO wa HGE.
Maana waliofanya vzuri wana dvs 1 za point 6.
HONGERA
 
Wakuu,kuna mdogo angu amemaliza kidato cha sita,amepata Div 1..EC B, GEOG B,HISTORY C (HGE) , tatizo linalo msumbua ni F yake ya math o'levo na A' levo alipata F ya BAM. Anataka asome BAED Economics&Geog,sasa kinachomchanganya ni hiz F za hesabu je,anaweza pata nafasi kwa kusomea ualimu wa ECONOMICS na GEOGRAFY pale UDSM? mawazo yenu yanahitajika wakuu tumsaidie huyu dogo.
Kwa ualimu bila shaka awawez kumuacha mwambie ah apply tu
 
YAAN SOMO LILILOKUA SIMPLE NGAZI YA SECONDARY KWA UPANDE WANGU NI MATHS
KULIKO HATA KISWAHILI KWAN KILINISUMBUA MWISHO WA SIKU NIKARAMBA "F" NIKARICHUKIA HAD HIV LEO SITAKI HATA KULISIKIA
BUT NUMBER NASHKURU NILIPATA "A" OLEVEL PIA ADVANCE NIKAPATA "A"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom