F.F.U wametapakaa kila kona ya manispaa ya Iringa Mjini!

Mwenzenu sijaelewa sababu hasa ya msingi ya kuzuia mikutano ya CHADEMA kwa nguvu zote hizi. Kuna siri gani iliyopo kati ya serikali na Chama tawala?
 
Kwa kweli Mungu anisamehe,"Siwapendi watu hawa wanaitwa Polisi"japo nina
ndugu zangu ni mapolisi mnisamehe.Hivi kwani hawawezi kutumia akili zao wanapoamrishwa
kufanya kitu ambacho wanaona kabisa si haki kwa watanzania?
 
A failed government is up with arms with the poor people,
The people whom they are supposed to serve,
to supply clean and safe water, to supply medicine and doctors to the hospitals,

To them, the poor wananchi are just a bunch of jokers, whom they will befriend with Khangas, tshirts and base ball huts during election.
After all, even if the wananchi wont vote for them, election rigging is the game they have mastered for years!!

However, they forget one thing, CHANGE IS INEVITABLE......they will live to see it.
 
Hivi wanazuia mikutano kwa ajili ya sensa?mbona kuna maeneo hakuna mikutano na hatujahesabiwa leo siku ya tatu.
 
Kuna wengine bado wameshikamana na hilo li ccm hata baada ya yote haya na yanayoendelea kutokea, vinatia uchungu. hebu watu wa aina hiyo kama mnaridhika na haya si mbaya lakini watoto wenu je? nawasihi geuzeni nyoyo zenu tushikamane pamoja kukafuta mabadiliko kwa ajili ya watoto wetu. Na hilo linawezekana ni kujipanga tu 2015. kama ni dhambi kuichukia ccm bac namsihi Mungu anisamehe kwa hilo kwa kuwa siipendi na sintoitaka kamwe.
 
Wadau mbona inasemekana kuwa Chadema wamepewa Kibali cha mkutano lakini katika ratiba yao waliyowasilisha makao makuu ya polisi Iringa ndo ika-include na maandamano ambayo ni kinyume na makubaliano ya awali? Hebu wadau (mlio karibu na maofisa wanaoratibu huo mkutano hapo Iringa) mtujuze lipi ni sahihi na hata kama kuna Afisa yeyote wa Polisi ama Polisi yeyote anayejua hili hapo Iringa na ni member wa Jamvi atupe ukweli. Hatutaki DAMU kuelekea ukombozi halisi wa nchi hii hapo 2015.
 
Kwa serikali ni rahisi na busara kwao kuua wananchi kuliko
kuwalinda, na wataendelea kufanya hivyo hadi wahakikishe
vitisho vimewatawalaWatanzania. Tusisahau kali mwisho ya
Pinda, mwajiriwa wa umma analazimika kuitetea CCM
iendelee kubakia madarakani.

C C M - Hoi!
Hoiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!
 
Atakuwa Liwalo na Liwe...plus dhaifu lao ni moja!

Mtasema yote, ila mkutano hauto fanyika ulinzi ni mkali mno ambapo hata nzi wamekimbia licha ya binadamu. Hiyo ndio maana ya dola, ikisema kitu lazima kifuatwe na hakuna anae weza kuitisha dola, asogee mtu sasa aone atakacho fanywa.

 
Wadau mbona inasemekana kuwa Chadema wamepewa Kibali cha mkutano lakini katika ratiba yao waliyowasilisha makao makuu ya polisi Iringa ndo ika-include na maandamano ambayo ni kinyume na makubaliano ya awali? Hebu wadau (mlio karibu na maofisa wanaoratibu huo mkutano hapo Iringa) mtujuze lipi ni sahihi na hata kama kuna Afisa yeyote wa Polisi ama Polisi yeyote anayejua hili hapo Iringa na ni member wa Jamvi atupe ukweli. Hatutaki DAMU kuelekea ukombozi halisi wa nchi hii hapo 2015.

Hayo ndio kama jana walivyofanya Morogoro, wao walipewa kibali cha mkutano, wao wahamasisha maandamano, sasa hapo hawa jamaa wa FFU wakiwafanyia kitu mbaya watalaumu ? cdm ndio chanzo cha mauaji yote

 
Mkutano kuanzia 8-12, jumanne, hayo si ni masaa ya kazi?[/QUOTE]

kazi mwisho saa tisa katika mfumo wa kawaida. Hata hivyo halazimishwi mtu kuhudhuria,ukiona amehudhuria na ratiba yake kaipanga hivyo.
 
Mkutano kuanzia 8-12, jumanne, hayo si ni masaa ya kazi?

Hata hivyo ambao huwa wanaoenda kwenye mikutano na maandamano ya kipuuzi ka hayo ni wale ambao hawana kazi za kufanya.. Kwa hiyo hata wakifanya saa 2 Asubuhi watawapata tu..
 
ndoto ameshindwa mtu na udhaifu wake na usalama wake ikawe ndo maombi yawe mchumia tumbo

Si aende aone mziki wake ,chezea fanya fujo uone saga saga ubwie. Iringa vijana wa hawatompokea kwa mashada ya majani ya mtende kama anaingia yerusalemu.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom