F.B.I showing interest in social networks

Mchekechoni

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
279
19
On May 05th 2011, I got an email from an insider in the US informing on the special task by the government agency to check data flow from various e-forums including and not limited to those operated in the third world countries. JF can't skip the list due to its openness, the word is 'we are being watched'.
 
kuanzia mgambo, polisi, TISS, na makachero wa nje mbona wanatufuatilia kwa miaka mingi tu.
Hapa hatuchochei ugaidi wala kujilipua, imekula kwao mazima.
 
kwani nyie mnakuwa wageni wa US wanaanzisha vita afu wanategemea kuurubuni umoja wamataifa ambao ni tete ili wa fulfil interest zao..
mind you one US will fall with a lot of shame..
 
Hao marekani hawajiamini kabisa. Ndiyo maana wanamchungulia kila mtu. Kwa JF wachungulie tu ila watajifunza kuwa watu hapa wanatoa mawazo yao kwa uhuru. Wao wanaowategemea kwa kuwakabidhi dhamana ya maisha yetu ni mafisadi na hawatusaidii sisi wala wao. Baadhi yetu tunaamini wana mkono kwenye kutuwekea viongozi wapuuzi duniani wacha hapa kwetu wa akina JK na chama lao la magamba. Wana masilahi wameyaficha kwapani; labda kuendeleza umasikini wetu.
 
hope so....halafu siku nyingi hujatundika mpya mpya......btw hujambo wewe?

Mic you swetie mie sijambo nilikuwa ng'onjwa last week ila sasa mambo mswano, jpili nije kupata mbuzi nahmu na nyamaa:happy::happy:
 
Mic you swetie mie sijambo nilikuwa ng'onjwa last week ila sasa mambo mswano, jpili nije kupata mbuzi nahmu na nyamaa:happy::happy:

ooh dear...pole sana......njoo nikupeleke kwa mromboo kuna mambuzi manono utakula mpaka ushindwe mwenyewe....karibu sana
 
ni moja ya kazi yao,kutafuta taarifa sisi tujari mambo yetu yenye manufaa kwetu tusiwaogope
 
kwani mnashangaa nn wkt wikileaks washasems hata facebook ni mtandao wa kijasusi wa marekani wanautumia kupata data wanazotaka,JF watanywea wenyewe hakuna unafiki hapa tupo wazi kuanika uozo.tena hapa jf kumjua mtu ni kazi kulikofacebook.
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom