Ezekiel Wenje apata ajali, yu mzima..!

Hela yangu inakuhusu nini,,aliesema wewe lofa na mpumbavu alikua sahihi
ni hivi , nimeuliza kuhusu hela kwa vile mtu yeyote aliyeshiba asingeweza kuweka hoja ya kijinga kiasi kile , bali hoja kama ile huletwa na wenye msongo wa mawazo yanayotokana na kushinda njaa .
 
Huyo viti maalum alikua anafanya nini kwenye gari ya wenje maana tabia za watu wa chadema mh!
unakumbuka yule mbunge ambaye pia ni waziri wa ccm alivyofumaniwa kule Singida?lakini nikukumbushe waziri wa ccm aliyeibiwa na kimada Guest house pale Morogoro. haya nawe nieleze watu wa chadema wana tabia zipi?
 
kuna mwingine chupuchupu kufyekwa mkono kwenye fumanizi , naye ni waziri , ana jina la porini .
 
Pole Wenje Mungu atakulinda usiku na mchana bado ninayo matumaini utawawakilisha wana wa Nyamagana mjengoni.
 
Kamanda nimewasiliana na mamaako kanisimulia alivyopigwa magoli,kwa hiyo nimeshapata jibu usijali
......mh kwani na mamaako naye alipewa ubunge wa viti maalum cdm?......... basi pole ni kupenda kwake starehe siyo kosa lako......
 
hapo kila wakati magari yanaanguka hii ni kwasababu wameweka kokoto au changalawe juu ya lami hyo ambayo ilikuwa na matuta matuta ili ionekane ipo swafi sasa ukifunga break two umekwishaa
 
......mh kwani na mamaako naye alipewa ubunge wa viti maalum cdm?......... basi pole ni kupenda kwake starehe siyo kosa lako......
Hapana mama yangu alikatwa ila mama yako alipitia mlango wa nyuma baada ya kulala na watu kama watano wa kamati kuu
 
......he basi mama yako ni nuoma.....watu wote hao 5 .....hakuzimia !?
 
Wenje komaa na Yesu, wanataka kukuangamiza kwa kuwa umesha washinda, pole sana kwa majeraha wewe na wenzako.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom