Silver Rock
Member
- Mar 4, 2012
- 20
- 3
natafuta provision ya law kwa ajili ya kuomba extension ya time High Court kwa ajili ya kufanya Revision ya kesi iliyoamuliwa na District Court...maana ushapita mwaka mzima ambao ndo time limit ya kuomba revision according to MCA,,...