Extended use of mobile funds transfer systems

payuka

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
829
127
Tuna M-pesa, TiGo Pesa, Airtel Money na ZAP. Kenya na Tanzania mpaka sasa kuna huduma hizi zilizokwishaanzishwa:-
1) Bulk salary pay: wafanyakazi wanalipwa mishahara kupitia huduma hizi
2) Manunuzi ya airtime, luku, startimes vouchers
3) Bills payment: Dawasco, DSTV,
4) Malipo ya kodi mbalimbali TRA: income tax, property tax etc
5) Dating systems huwa inatumika kuwalipa hookers kamisheni
6) Zinatumika kwenye baadhi ya stores kununua bidhaa, badala ya kutumia hard cash wewe unawapatia electronic money then wanakupatia bidhaa/ huduma
7) Forex transfer: nimeona mpesa wamezindua huduma hii, watu wanaoishi ughaibuni wanawezeshwa kutuma fedha nyumbani. Nimeipenda sana hii kwani inaondoa vikwazo vingi, but bado sijajua wanapambanaje na money laundering
NB: naomba wadau wanaoweza kufikiri nje ya box waweze kutoa ushauri wa nini kifanyike ili kuweza kuboresha huduma hizi.
 
Back
Top Bottom