Exposed: The usa-saudi libya deal

mh lakini kumbuka kuwa gcc wana makubaliano ya kuwa nchi mojawapo ikiingiliwa au inapopata machafuko basi nchi mwanachama inaruhusiwa kwenda kuisaidia.

Africom inahusika vipi na middle east? Middle east inaangukia chini ya centcom ambayo ina ofisi zake doha, qatar iyo ya bahrain ni naval support center.
hahhhaahhaha......wewe vipi mbona mzito hujui kwamba africom ndio inayoendesha mauaji huko libya kwa kisingizio cha kulinda waaasi ?
 
hahhhaahhaha......wewe vipi mbona mzito hujui kwamba africom ndio inayoendesha mauaji huko libya kwa kisingizio cha kulinda waaasi ?
Naona ushapoteza plot, wewe ulikuwa unazungumzia Bahrain na Middle East mwisho ukasema "sasa tunaona kazi ya AFRICOM" ndio maana nikakuuliza AFRICOM inaingia vipi Middle East? Speaking of uzito inayoendesha mission Libya ni NATO.

and i only pointed that libya is in africa so it fall under AFRICOM not the ME America military base,so no connection or you wanted to hear from macos so you can feel gud,eeh?
Mybe am missing sumthin here.
Duh what are you smoking... whatever it is you need to stop...
What you are missing is a clear head to tackle some simple issues like this one.
 
ahhh bwana wee sasa na sie hapa tunao eac...lakini hatuingiliani kijeshi kwa mambo ya ndani......sidhani huo umoja wao una malengo ya kudumaza democrasia ......au kuingila mambo ya ndani ya nchi husika......bahrain ni kanchi kadogo....lakini kipo mahala muhimu....marekani wana kituo chao kikubwa cha jeshi...6th fleet...wamewatumia saudia kuuwa democrasia bahrain kwani wanajua watambiwa waondoshe kituo chao....thats the truth.....na sauidia hatakai democrasia jirani na mpaka wao....na ukichukulia oppsition hapo bahrain ni mashia ambao wana uhusiano na iran.....hivo afadhali akubali ghadafi aondolewe ili na yeye azzuie ushia dirishani kwake

sisi EAC hatuwez kuingilia kijeshi mambo ya ndani ya nchi wanachama kama GCC wanavyofanya maana maswala kama hayo si moja ya makubaliano yetu katika area of cooperation-kwa hio saudi wapo sahihi kabsa kuingilia kijeshi Bahrain na sisi EAC tupo sahihi kabisa kutoingilia migogoro ya ndani-jaribu kuwa na data ndo ulete mada-usijibu kiushabiki
 
Back
Top Bottom