Explosion in Nairobi

Ee mola ubinadamu ndo umetuisha kabisa sijui ndo tunaelekea wapi sasa!
 
likely hood of the blast being a bomb unlikely.....explosion contained to a small area, casualty levels in it self should be an indication it wasnt a bomb...#Mathew Iteere says electrical fault to blame and i concur with him. Immediate buildings are unscathed. May the Alshabaab sympathisers chill out. KDF is doing a wow job in Afmadhow, actually final touches.
 
AL shabaab at work, some tribal clashes or electric shock ?

LIVE assuarance....just went off air. No grenade or Bomb blast. ITERE caregorical its an electrical fault, Kenya power fire marshalls at site
 
610x.jpg


610x.jpg


610x.jpg


610x.jpg


610x.jpg
 
Poleni sana majirani...Al Shaab hawana cha kupoteza ndo maana vita yake ni ngumu kidogo...ni zaidi ya vita vya maneno ambavyo kwa kweli hivyo mnaviweza sana. Hata hivyo, nafurahi kuona uwepo wa kuona red and black beret soldiers...kumbe hao pia mnao.
 
Hata Zenji wasije wakawa hawa hawa wavaa suruali fupi fupi
 
Raila Odinga anawasukumizia Al Shaabab wakati Orwa Ojode anasema ni shoti ya umeme. Wanasiasa ndo wanaoharibu mambo kwa kuzidi kuwachanganya wananchi.
 
LIVE assuarance....just went off air. No grenade or Bomb blast. ITERE caregorical its an electrical fault, Kenya power fire marshalls at site

Kenya Power: the blast was not caused by electrical fault
Odinga: We condemn the terrrosit!
Police: Electrical fault.
 
Raila Odinga anawazukumizia Al Shaabab wakati Orwa Ojode anasema ni shoti ya umeme. Wanasiasa ndo wanaoharibu mambo kwa kuzidi kuwachanganya wananchi.

Sio hio tu mkuu. Hebu jiulize katika hiki kipindi cha takriban miaka mitatu kama kuna mtu keshapelekwa
mahakamani kushatakiwa for any of those bombings. That tells you a lot about the Kenya Police Force
investigating capabilities....or worse still, complicity which is very damning!
 
kosa walifanya kuingilia somalia.....wamarekani wamewashindwa wakawasakazia wao....poleni sana ndugu zanguni
 
kosa walifanya kuingilia somalia.....wamarekani wamewashindwa wakawasakazia wao....poleni sana ndugu zanguni

Mmarekani alitimua mbio kule Somalia eti wakenya waweze thubutu wao wapo Somalia nawasonjo wapo Kenya wanawatandika chini kwa chini
 
Du.... Kenya.... (Nairobi) is no longer at easy....... poleni waathiriw wa mlipuko.
 
Back
Top Bottom