tgeofrey
JF-Expert Member
- Jan 29, 2008
- 558
- 15
mzee nimekubali maoni yako 100% hawa walalamikaji walihaidiwa nini?Mfanyabiashara hapaswi kulalamika iwapo mteji avutiwi na bidhaa yake, anachopaswa kufanya ni kubuni mbinu za kumvuta. Iwapo atashindwa yeye ndio mwenye matatizo sio mteja.
Somo nililosoma hapa ni kwamba wafanyabiashara hao wa Tanzania wanaolalamika hawajui the very basic principle of marketing!