Let us not look at things in a narrow sense. We need to look at this in a broader perspective and address the issue accordingly because it is not only the Ministry of Energy that has been involved in such gross misconduct. Serikali na sisi kama watanzania tujadili namna ya kumaliza matatizo kama haya maana haya yanafanyika kila wizara na kila mwaka. Tunapoanza kumjadili mtu au kampuni ambayo hata hatuna uhakika kama inahusika tunakuwa hatuja-address problem. Jamii Forum is a home of great thinkers guys, au am i missing a point.?