Mnama
JF-Expert Member
- Oct 13, 2010
- 2,667
- 2,127
Hapa ni kiini macho kitupu kumteganisha Katibu Mkuu wa Wizara na Waziri wake ni kama kumtoa kafara tu ili waziri apone. kwani mwenye kuhitaji zaidi Budget ipite ni nani? lazima hili zoezi waliliratibu wote hivyo wote ni wabovu na hawafai kuwepo serikalini,CCM wamezidi kukumabatia uovu,wanaumbuka lakini hawakomi