Wanabodi,
Nadhani ni Tanzania tu ambapo total package ya mfanyakazi wa serikali ni kubwa kuliko mfanyakazi wa private; ukilinganisha kwenye level zinazoshabihiana.
unazungumzia hawa wafanyakazi wa serikali? wanaolipwa laki mbili na nusu au?
The fact that umesema hujaelewa, already umeelewa!!!
Mkuu hueleweki
Please provide evidence na toa figure halisi kuonyesha hiyo tofati ya packagesWanabodi,
Nadhani ni Tanzania tu ambapo total package ya mfanyakazi wa serikali ni kubwa kuliko mfanyakazi wa private; ukilinganisha kwenye level zinazoshabihiana.