Mpanda Merikebu
Senior Member
- Dec 27, 2007
- 170
- 2
Mkuu Mlalahoi,
Muungwana na el, walishaachana njia panda siku nyingi sana, isipokuwa tu el alikuwa mjanja sana na ku-delay the process, na ni kutokana na mikakati ya underground ya el kujitayarisha na 2010, muungwana alikuwa amesubiri mkuu ajivishe kitanzi mwenyewe, el aliamini kuwa six atazima ngoma kwa kuzima ripoti, kutokana na ile jamba jamba aliyomtia kwenye kesi ya Malima, and six almost did, lakini hakujua kuwa Mwakyembe, alikuwa amepewa green light na muungwana, maana at one point hata Mwakyembe mwenyewe hakuwa na uhakika kuwa ripoti itakubalika, mpaka alipokwenda kumuona muungwana uso kwa uso na ripoti na kupewa go ahead, six alipotaka ku-punch na gear ya kusafiri, muungwana, alimpigia simu kumuuuliza unakwenda wapi? forget hiyo safari tulia hapo ninakuja, muungwana hakuenda Muhimbili kwa Kubenea bila sababu, na Mwakyembe hakuiweka kwenye ripoti bila sababu, and the rest of the story,
lakini walikuwa wameshaachana njia panda siku nyingi, na sio kwa bahati mbaya muungwana amempa mtu wa idara u-PM, kuna sababu nayo ni el!
Chief FMES,
Doesn't this remind you of "Keep your friends close and your enemies closer"? Kwa kweli sisi kunguru (wananchi) tuvisubirie tu hivi vita vya panzi kwani furaha na faida ni yetu. Hopefully a greater public/national good will be achieved!!