Exclusive: Robby one & big jahman wapelekwa jela kwa mali ya wizi....

Papizo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
4,944
1,431
Mmiliki wa maduka ya* Robby One Fashion, Maarufu kama Robby One pamoja na Big Jahman ambae pia ni mmiliki wa Maduka ya Jahman Fashion, inadaiwa kuwa asubuhi ya leo tarehe 20/09/2012 walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukamatwa na mali za wizi...

Kikitutaarifu chanzo chetu cha habari hii kilituambia kuwa wajasilia mali hao walikutwa na mizigo ya nguo Kwenye Maduka yao ikiwemo Suti na Viatu aina ya Moka au maarufu kama 4'EnGo ambavyo vinadaiwa kuwa vimeibiwa...Vitu hivyo inasemekena kuwa vina thamani isiyopungua Shilingi Millioni Mia mbili,hivyo kupelekea dhamana ya kesi hio kuwa ni hati ya nyumba kwa kila mtuhumiwa, chanzo chetu kinasema kuwa Wadau hao hawakuweza kutimiza ama kuwasilisha Hati hizo za nyumba ili kupata dhamana, hivyo kupelekea Moja kwa moja kupandishwa kwenye Kalandinga na kupelekwa Segerea...

Source: Kutoka kwa Diamond

N.B Wakuu hawajaa kama wewe ni mpenzi wa nguo hapa dar basi mtakuwa mnawajuwa wana maduka sehemu mbali mbali ya jiji....So wapo segerea now....hela inatafutwa kwa kila njia kwa kweli....Picha zao naziweka soon now natumia simu....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Attachments

  • MG_4754.jpg
    MG_4754.jpg
    18.2 KB · Views: 894
  • 196790_108719835877165_108718195877329_84412_7119558_n.jpg
    196790_108719835877165_108718195877329_84412_7119558_n.jpg
    60.7 KB · Views: 925
  • Jah Mah.JPG
    Jah Mah.JPG
    32.6 KB · Views: 840
Mmiliki wa maduka ya* Robby One Fashion, Maarufu kama Robby One pamoja na Big Jahman ambae pia ni mmiliki wa Maduka ya Jahman Fashion, inadaiwa kuwa asubuhi ya leo tarehe 20/09/2012 walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukamatwa na mali za wizi...

Kikitutaarifu chanzo chetu cha habari hii kilituambia kuwa wajasilia mali hao walikutwa na mizigo ya nguo Kwenye Maduka yao ikiwemo Suti na Viatu aina ya Moka au maarufu kama 4'EnGo ambavyo vinadaiwa kuwa vimeibiwa...Vitu hivyo inasemekena kuwa vina thamani isiyopungua Shilingi Millioni Mia mbili,hivyo kupelekea dhamana ya kesi hio kuwa ni hati ya nyumba kwa kila mtuhumiwa, chanzo chetu kinasema kuwa Wadau hao hawakuweza kutimiza ama kuwasilisha Hati hizo za nyumba ili kupata dhamana, hivyo kupelekea Moja kwa moja kupandishwa kwenye Kalandinga na kupelekwa Segerea...

Source: Kutoka kwa Diamond

N.B Wakuu hawajaa kama wewe ni mpenzi wa nguo hapa dar basi mtakuwa mnawajuwa wana maduka sehemu mbali mbali ya jiji....So wapo segerea now....hela inatafutwa kwa kila njia kwa kweli....Picha zao naziweka soon now natumia simu....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

sijakusoma kuhusu diamond,ni kwamba kawa ripota sku izi ama vp!!

Wenye maduka kino pale wote wezi,uyo robby kwanza ni muuza unga nguo anazugia tu.
 
Mkuu wangu acha tu,ndio mjini watu wanavyoishi,ni noma...na ukifanya hiyo kazi haramu lazima uwe na sehemu ya kujishikisha hata kukiwaka unasema unafanya biashara fulani.....kila mtu anaishi anavyojuwa vile vile ana maduka mengine kariakoo pia....

Ukicheck site yake utaona kaweka hii issue....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
sijakusoma kuhusu diamond,ni kwamba kawa ripota sku izi ama vp!!

Wenye maduka kino pale wote wezi,uyo robby kwanza ni muuza unga nguo anazugia tu.

May be Diamond Blog.
Bongo nani asie mwizi?
 
sijakusoma kuhusu diamond,ni kwamba kawa ripota sku izi ama vp!!

Wenye maduka kino pale wote wezi,uyo robby kwanza ni muuza unga nguo anazugia tu.

nadhani huyo Diamond ni mkurugenzi wa moja ya blogs tanzania!
 
Mmiliki wa maduka ya* Robby One Fashion, Maarufu kama Robby One pamoja na Big Jahman ambae pia ni mmiliki wa Maduka ya Jahman Fashion, inadaiwa kuwa asubuhi ya leo tarehe 20/09/2012 walipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa tuhuma za kukamatwa na mali za wizi...

Kikitutaarifu chanzo chetu cha habari hii kilituambia kuwa wajasilia mali hao walikutwa na mizigo ya nguo Kwenye Maduka yao ikiwemo Suti na Viatu aina ya Moka au maarufu kama 4'EnGo ambavyo vinadaiwa kuwa vimeibiwa...Vitu hivyo inasemekena kuwa vina thamani isiyopungua Shilingi Millioni Mia mbili,hivyo kupelekea dhamana ya kesi hio kuwa ni hati ya nyumba kwa kila mtuhumiwa, chanzo chetu kinasema kuwa Wadau hao hawakuweza kutimiza ama kuwasilisha Hati hizo za nyumba ili kupata dhamana, hivyo kupelekea Moja kwa moja kupandishwa kwenye Kalandinga na kupelekwa Segerea...

Source: Kutoka kwa Diamond

N.B Wakuu hawajaa kama wewe ni mpenzi wa nguo hapa dar basi mtakuwa mnawajuwa wana maduka sehemu mbali mbali ya jiji....So wapo segerea now....hela inatafutwa kwa kila njia kwa kweli....Picha zao naziweka soon now natumia simu....

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Alikutwa na hatia au ndio ile "recent possession" ilitumika na kuachiwa?
 
Back
Top Bottom