Exclusive: Ripoti ya Uchunguzi wa Vifo Tarime - Marehemu walipigwa mgongoni wakikimbia

wewe ndo man of action na sio eng. mayeye anapayuka tu......asante sana kwa taarifa
 
Hadithi ya ufisadi imekwisha, inaanza mpya ya Tarime. Je matukio yakiisha CHADEMA italeta hadithi gani nyingine. wanasiasa mchwara bana.
 
there exists a citizen that has its rights and its duties, and that obliges one to speak out against every abuse of power, whoever its author, whoever its victims. After all, we are all members of the community of the governed, and thereby obliged to show mutual solidarity
 
Hadithi ya ufisadi imekwisha, inaanza mpya ya Tarime. Je matukio yakiisha CHADEMA italeta hadithi gani nyingine. wanasiasa mchwara bana.

mtakuwa hamko madarakani..la ufisadi limeisha je
 
wanajamvi mimi leo wakati wa taarifa ya habari ya ITV nimesikitisha sana na taarifa aliyokuwa akiitoa Mkuu wa polisi kanda maalumu ya Tareme Constantine Massawe, kuwa eti walipokuwa wakiwahoji watu katika sakata la watu waliouawa na polisi hoku Tarime waligundua kuwa baadhi ya waliokuwa pale hospitalini walikuwa watu wa Shingida. Eti wakawatia mbaloni kwa sababu, haoni sababu ya watu Shingida kuwa interest na wakuria!! Hivi anataka kutuambia sasa hivi watanzania tumegawanyika kiasi hicho? yaani mimi mtu wa Dodoma sitakiwi kumtetea Mmanyema pale anapoonewa? ivi kati ya CCm na serikali yake na vyama vingine nchini ni nani anayeopandikiza udini ukabila? Kwa sababu Massawe anasema kabisa kwa madaha kuwa mtu wa Singida (Mnyaturu) Anakerwa nini mtu wa Mara (Mkuria) akiuawa? au kunyanyaswa kwa namna yeyetote. Ndugu zangu watanzania haya mnayoyaona na kuyasikia ni mwanzo tu mambo mengi maovu yanayokuja. Kwani kwa mwenye akili ameshajua kuwa Serekali ya CCM imeshatangaza vita juu ya watu wa nchi hii ambao si wana CCM. Nina sababu mahususi kusema hayo!! Wakati polisi walipo waua watu kule Arusha Raisi Kikwete alisema mauaji yale yalikuwa ni bahari mbay na hayatajirudia tena!!! Lakini chakushangaza ni kuona miili ya watanzania imeendelea kuwa ni vifaa vya mazoezi ya polisi kwa kuuawa kila siku na polisi. Juzi wote tulimsikia Kikwete akilaani mauaji ya yule kada wa CCM aliyeuawa kule mbeya alisema kuwa waliofanya hivyo watasakwa kwa udi na ubumba wapatikane!! Lakini tangu polisi wavyoua watu watano huko Tarime hatujasikia Mkuu huyo akitoa tamko lolote kuhusu wauaji wa nafsi hizo. Ila tuanamsikia akiibuka na kuzumgumzia amani ya Sudani kusini!! sasa sisi wenginie tuliozaliwa na uzalendo wetu tunaona serikali ya kikwete imewagawa watanzania kuanzia hilia la kikwete kutoa tamko kuhusu kuwasaka waliomuua kada wa CCM an bila kutoa tamko juu ya waliuuawa Tareme ambao hata huhitaji nguvu nyingi kuwapata wauaji! na hili la Massawe kusema Wanyaturu hawana interest na WAkuria!!!
Tunakwenda wapi?
 
Cha kushangaza huyo Massawee ni mchaga lakini yupo tarime, kwani wachaga ma wakurya ni kabila moja? Haoni hilo? Ila ni vizuri kujua elimu yake kwani inaonekana ameingizwa kazini kwa kimemo. Polisi waue then waongee upuuzi inauma sana. The day will come polisi watajuta. Si wamezoea kuua raia na kuwapiga risasi ovyo
 
nchi hii haitatawalika ni kwa mambo ya kipuuzi kama haya yanayofanywa na kusimamiwa na viongozi waliochakachua matokeo kwa ushirikiano mkubwa na Tume ya uchaguzi ndo
 
Kibaya zaidi wameingilia hata uhuru wa watu kuwazika marehemu wao siku wanayotaka, kwa sababu ya ubazazi huo hata wamediriki kupora maiti za marehemu hao na kuzibwa msituni ni unyama ulioje?
 
CHADEMA mwingine huyu

attachment.php
 
Maskini Tanzania!
Ni lini utapata viongozi wanaotenda kwa kutumia busara?
Ni lini Watanzania tutaamka na kuwatoa madarakani viongozi wauaji na wasiojali haki za binadamu wengine?

Maskini Jakaya Kikwete!
Ni lini utatambua kwamba U-Rais si jambo la wasio na uwezo, busara na hekima?
Hivi ni lazima ung'ang'anie madarakani hata kwa kumwaga damu?
Nchi imekushinda siku nyingi Jakaya! Ondoka , Ondoka, Ondokaaaaaa!!!!!!!!!

Mungu apumzishe kwa amani roho za mashujaa hao!
 
Hadithi ya ufisadi imekwisha, inaanza mpya ya Tarime. Je matukio yakiisha CHADEMA italeta hadithi gani nyingine. wanasiasa mchwara bana.
Hivi una uchungu na nchi hii kweli? Unadhani hili ni jambo la vyama? Ingekuwa ni ndugu zako wameuawa hivi ungeandika haya? Utu umekwenda wapi ziku hizi? Picha zako tunaziona Michuzi Blog lakini baada ya kuona comments zako humu, naona hata hiyo blog unaishushia hadhi!
 
Massawe si mchagga lakini? hawezi kuwatupa wachagga wenzake, Chadema
 
Back
Top Bottom