Exclusive: Mhe. John Cheyo On KLHN "Live"

Naomba umuulize:

Pinda kasema hawezi kujadili huo ushahidi hadharani.

Je, Bunge lina "vikao vya siri" ambako wanaweza kujadili yoyote ya Usalama na Ulinzi ambako Pinda anaweza kuonyesha hizo siri?
 
Mwanakijiji, ask follow up questions!

Naomba umrudishe kwenye swali la Sinclair.

Kasema Sinclair achukuliwe hatua na serikali pia.

Muulize:

Ripoti imetoka kwenye tume yake ikaenda kwenye mikono ya Rais. Sasa imevuja wapi, Ikulu? Serikali ni nani huyo aliyevujisha ripoti?
 
safi MKJJ...Lakini amekwepa swali!
wakamatwe ama la?
ushahidi unatosha kufungua mashtaka?
 
Kwa hiyo Katiba itabadilishwa lini sasa? Hizi taratibu za zama za mawe zimeshapitwa na wakati. There must be a level playing field.
 
Kama kwa akili yake anadhani amejibu swali....Then anacheza na ndio maana Bunge letu HOVYO TU!
 
Halafu inaelekea na yeye yuko hapa JF kwani maswali yakiulizwa basi yeye anachukua muda mreefu kujibu!

Aliulizwa wakamatwe ama la...Akaleta siasa mingi!
Sasa humo kamatini mh mh mh!

Madai gani hayo eti anashirikiana na ccm ili tusimwage damu?

Mbona sijawahi kumsikia akisapoti mabadiliko ya katiba na badala yake anadai kuwa kutokuwa na katiba mpya ndiyo sababu inayomfanya ashirikiane na ccm?

Na kama kweli ana nia nzuri kwa kuside na ccm...Then mbona hatujaona walichofanya ccm zaidi ya kuuza TAIFA?

JE NA YEYE ALISHIRIKI?

Kwanini asikumbushwe kuwa misimamo HOVYO YA MTU KAMA YEYE NDIYO ILIWAPA ccm NGUVU YA KUCHOTA MAPESA?

WALIMGAWIA ZA EPA NINI?
 
Halafu inaelekea na yeye yuko hapa JF kwani maswali yakiulizwa basi yeye anachukua muda mreefu kujibu!
Aliulizwa wakamatwe ama la...Akaleta siasa mingi!
Sasa humo kamatini mh mh mh!
Alisema nchi ina sheria hivyo kukamatwa kupo!tatizo kuna kulindana!
 
Alisema nchi ina sheria hivyo kukamatwa kupo!tatizo kuna kulindana!

Alitaka kukwepa!
akagundua hii ni jf...Akatwist haraka na kukumbuka sheria!
Ofcourse maswali yalikuwa yakifuatana na yeye alikuwa na uwezo wa kujitayarisha kujibu as long as yuko na computer.
Kama anjua hilo...Then basi alitakiwa aseme wakamatwe kwani hata yeye keshasoma ripoti!
Na kama bado...Then huyu ni BOGUS na bungeni hafai kwani maslahi ya TAIFA KWAKE NI YA ccm KWA GIA YA KUEPUKA MAPIGANO!
MAPIGANO YA WAPI?
NGUMI BUNGENI?
PRINCIPLE NI KUSIMAMIA HAKI!
KU PINDA HAKI KIMIZENGO..Kwa girini za Umwagaji damu na SIRI YA JESHI!
PANDIKIZI HILO!
Mwambie jf is better than that!
DAMN IT!!
 
Back
Top Bottom