William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
Raisi akizungumzia neno misaada!, watu mnakuja juu, akichukua hatua ili kujikwamua kwa kujitegemea, watu mnakuja juu, ningekuwa mimi Kikwete kwa hoja zenu hizi dhaifu ningewacheka halafu kimoyomoyo ningejisemea "these people dont know what they are talking about".
kaalika nchi chache, lakini nchi nyingine zenye uchumi mzuri kidogo kuliko sisi
zinawania kushiriki hamuoni kuwa hili ni jambo positive.
Acheni hoja za Chuki, na msifuate mkumbo, kuweni huru wa fikra siyo kila kitu mnalaumu tu, Hili la kikao ni muhimu sana, kwa sababu hizi nchi za jirani tunafanya nazo biashara kwa hiyo ni lazima mipango isukwe kuona tunajiokoa vipi kutoka katika hili tatizo la economic crisis iliyoikumba dunia.
DOWN WITH ARROGANTS, HATERS, WHINNERS, THUMBS UP FOR TRUTH SEEKERS AND POSITIVE CONTRIBUTORS
- Mawazo mbadala, saafi sana.