Exclusive: JK Ndani ya Bilila kwa mapumziko (Huku mafuriko na vifo vikiendelea)

Game Theory I

Member
Nov 28, 2011
32
8
President-Kikwete-of-Tanzania.jpg slide_asset_03.jpg slide_asset_07.jpg
slide_asset_06.jpg
 
Sorce ya habari yako ni nini...?!! mbona jk anawanyima usingizi hivi...?!! JK pamoja na wabuge wa CCM wapo majimboni wakiwajibika kutoka na hili janga mfano mbunge wa Mafia hapa chini akishiriki zoezi la uokoaji ....


385992_10150459233166225_33236101224_8964202_740137234_n.jpg





"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯
 
hajui kuna mafuriko au ni nini??yupo na yule mke mpya mtoto wa asas au??huyu jamaa hafai hata kidogo
 
Game Theory kama hili ni kweli, tunatakiwa kumueleza kila mwananchi kuwa nchi haina Rais
 
Sorce ya habari yako ni nini...?!! mbona jk anawanyima usingizi hivi...?!! JK pamoja na wabuge wa CCM wapo majimboni wakiwajibika kutoka na hili janga mfano mbunge wa Mafia hapa chini akishiriki zoezi la uokoaji ....


385992_10150459233166225_33236101224_8964202_740137234_n.jpg





"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯

i am sure unafikiri kwa kutumia masaburi, otherwiz usingeandika comment kama hii.
Kwa hiyo huko Bilila-Serengeti ndo kuna jimbo la JK?
As a president anatakiwa awe biga kwa biga na ishu ya mafuriko, sio kwenda kupumzika! Afterall, anapumzika amefanya nini? Au baada ya kufanya uteuzi wa kitaira wa mabalozi pamoja na NEC?
 
Ha! Ha! Ha! Eti Game theory 1..

JK mbona anatembelea sehemu zilipata athari ya mafuriko alikuwa mkoani Mara saizi yupo Dar, hizo picha mbona za muda mrefu tu... Subiri baadae ungalie habari ndio utajua JK yupo wapi


Mkuu Ritz unapenda kubisha kila kitu kinachomuhusu huyo shemeji yako,sijui anakulipa ngapi
 
Njiwa umekuwa popo?!


jibu swali sio unaleta habari za kizushi... na kumzushia Mh. Rais .. ameoneka maeneo ya bilila hizo picha umezipata wapi.. ulimpiga hiyo jana au ni za kitambo..?

"ᵀᴴᴱ'ᴼᴿᴵᴳᴵᴻᴬᴸ✯


 
Kama nilivyochangia ktk thread moja,juzi ulipita msafara mkubwa wa gari za serikali kuelekea serengeti kumpokea Rais,sasa hili ni jambo la ajabu kabisa kuliamini,watu wanakufa rais anakula gud time. Kama washauri wake wmeshindwa kumshauri hata mkewe ameshindwa pia?
 
jamani huyu game theory 1 ndo yule yule game theory wa siku zote au????????
 
tatizo lake amezidisha usharobaro anaogopa atachafuka akienda kwenye maeneo yaliyoathirika maana lile kapeti jekundu halitatandikwa. Nitarudi baadae
 
Miwe wala sibishi maana don't joke with this Mkulu! with him?? anything can happen! Nchi haina raisi.
 
Back
Top Bottom