Exclusive: In Depth Interview with Dr. Willibrod Slaa - Feb 28, 2011

Good - the arrogance of Wassira is what led the prime minister to lie in perliament. He went to arusha, met with one side of the conflict (ccm only) and made a report to the president and PM; and the PM without thinking in depth decided to believe it wholly!
I liked that observation.
Generally, a good interview and good answers from a respectable person
 
Hapo kwenye RED, sijui nilie kwa aibu au nicheke kwa kusema "Si nilishasema hili mara kibao?"

Ndiyo maana nasema, Chadema wasome sahihi yangu.
Well mkuu...jana nilikua safarini kuelekea Tabora safari yangu ikianzia Arusha...sizungumzii kipande cha barabara tokea makuyuni hadi Babati lakini nimejiuliza maswali mengi sana...huwezi amini ni Tanzania hii yenye watawala watanashati hivi...kutoka Babati kufika Singida ni sarakasi tu kwenye gari kutokana na ubovu wa bara bara na vumbi ya kutosha...kikapita kitambo kidogo kabla ya kufika Nzega...In short Tabora hakuna bara bara ya kuelekea makao makuu ya mkoa..haya na mengine mengi yananifanya nijiulize kwanini CCM wanataka tu kubaki madarakani! Kwanini?
 
Kama kocha halafu mwanao mchezaji. Lazma umpange. This was soooooo difficult to listen. Awaful! Love your passion mwanakijiji but u threw too many soft balls for Dr. Slaa.

Maswali mangapi Kikwete aliulizwa baada ya hotuba yake?
 
ayah..?asee hilo swali lako linanifanya kujiuliza maswali kuhusu upeo wako na reasoning capacity yako.nikuulize tu KWANI uchaguzi ulikua lini na unaofuata ni lini?...

Mkuu sana Elungata kweli upeo wangu ni mdogo sana kwa utapia mlo wa fikra uliosababishwa na serikali mufilisi ya Chama Cha Mapinduzi! Kwamba wapi nilikua kipindi cha uchaguzi sio swala la msingi kwa kua hata kura yangu moja niliyopiga kwa mwanamwema imepokwa na hawa mufilisi! Na suala la ni lini uchaguzi mwingine nafikiri jibu inalo...kwa hali ilivyo na jinsi joto linavyozidi,bado nina hofu ya huo uchaguzi mwingine kufikiwa...aliyevamia shughuli yatamsinda tu! Salam zako!
 
Nimekusoma Dk, hawa jamaa sio waungwana kabisa, ni Mabeberu (Lugha ya Baba wa Taifa). Ila endelea hatu kwa hatua. Tunakuombea Nguvu na Afya. Taifa linaangamia kabisa.

People Power is unstopable.:spider:
 
Inabidi Chadema PR section waende hatua zaidi ya hizi i-report za Mwanakijiji, say wafanye Exclusive Interview na CNN proper au hata major media house nyingine kama BBC au Al-Jazeera. Hizi i-report zina loopholes zinaweza kutumika na washindani wenu kama weakness.
 
Hongera mwanakijiji kwa kazi nzuri sana. Mungu akupe amani uweze kufanya kazi kubwa na nzuri zaidi
 
There is no denying that grand corruption appears a cureless cancer in Tanzania today. Efforts to not even cure it...but address it visibly have proved to be very very very difficult. You don't have to be a rocket scientist to see that the delay and hesitance in 'continuos visible' results has made Tanzanian citizens baffled(!) and very very very angry.
 
hata km ita2chukua muda kidogo 2tafika 2 kwa style yoyote ile kwani watz wote hata ccm na ccm-b wanatamani mabadiriko kwani wanaoathirika na mfumo huu tasa wa ccm sio wapinzani pekee.
HV WANAOIPENDA CCM NA KIKWETE NI WATZ KWELI?
 
Thanks Mwanakijiji,
Dr. Slaa hapa anaelezea wazi umuhimu wa serikali iliyopo madarakani kuwajibika kwa kutatua kero zinazowasumbua Wa-Tanzania.

Na CCM wachague kuwatumikia wananchi kwa kutatua matatizo ya nishati ktk uzalishaji mali na huduma, kuwawajibisha viongozi wake wabovu au kukubali wameshindwa na kidemokrasia CCM inaweza kukubali kubwaga manyanga mapema hata kabla ya 2015 na kupisha CHADEMA kushika dola kwa kupitia uchaguzi ulio huru na wa haki.
 
"We are willing to sit down and talk, to discuss but who can we talk to, who are we going to talk to, if there is nobody the only person we can talk to is our public". Great Great statement. Sasa katika hili CCM wanataka nini tena?
 
Inabidi Chadema PR section waende hatua zaidi ya hizi i-report za Mwanakijiji, say wafanye Exclusive Interview na CNN proper au hata major media house nyingine kama BBC au Al-Jazeera. Hizi i-report zina loopholes zinaweza kutumika na washindani wenu kama weakness.

Kakalende, ungejua jinsi inavyosumbua na watu wa Chadema kwenye haya mambo ya media hadi inakera! Hawataki kusikia na hata wakisikia wana mambo elfu moja ya kutolea udhuru. Wakati mwingine inakatisha tamaa sana.
 
Asante Mzee Mwanakijiji for this.
Nimeisikiliza interview yako japo mwishoni imekatika sijui ni pc yangu au ndio ilikuwa uploaded.
Mimi nina machache kuhusu mahojiano yako in pont format, kwanza ni pongezi, zitafuatiwa na critique.

Pongezi:

  1. Kwa kuanzia, its a good move, angalau tumemsikia kwa masikio yetu mawili Dr. Slaa mwenyewe akijieleza kwa kirefu.
  2. Umemuuliza hoja nyingi za msingi.
  3. Amejibu hoja zako kwa kirefu
  4. Nakupingeza wewe binafsi kwa initiatives kama hizi, ambapo sisi tulio nyumbani, ambako Dr. is reachable hatujaweza kufanya.
  5. Napongeza mtandao wako ambao sasa unaingia mpaka CCN i-report.
  6. Naomba zifanyike juhudi za makusudi, interview kama hizi, zitangazwe na vyombo vya nyumbani.
  7. Mwisho nasisitiza, nakukubali sana Mzee Mwanakijiji kwa vipaji lukuki, kuhoji ni kipaji ambacho tukikitumia vizuri, Tanzania will not be the same again.
Critique

  1. Umemuhoji Dr. Slaa as if he is your hero, hivyo umemuuliza maswali mapesi, mengi yakiwa ni leading questions hivyo kumpa mteremko wa majibu. Ningefurahi kama ungemuuliza maswali magumu zaidi ili asitoe majibu mepesi.
  2. Baadhi ya maswali yako yalikuwa marefu sana bila sababu na baadhi ya majibu ya Dr. yalikuwa ya kisiasa zaidi kuliko reality, mfano ulipomuuliza kuhusu kuwashwa kwa mitambo ya Dowans, ulitakiwa kumbana zaidi kuface the present reality.
  3. Baadhi ya majibu ya Dar, hayakukamilika ambapo wewe ulitakiwa kumshindilia maswali ya zida ili majibu yakamilike, mfano lile swali la kutoa ultmatum ya siku saba, ulitakiwa umumshindilie hizo siku saba zikipita bila kutekelezwa madai yao, then what?. Ama kwenye swali la katiba, jee ikifika 2015 mchakato wa katiba mpya haujakamilika watafanya nini?.
  4. Kuna swali hukumuuliza kabisa, ni la kuhusu Chadema kumtambua JK au kutomtambua, ila katika katika majibu mbalimbali ya baadhi ya mswali yako,Dr. Slaa ameonyesha 'impliedily' kuwa uchaguzi umekwisha, sasa tunasubiri 2015!.
  5. Ukifanya mahojiano mengine na watu muhimu kama hawa, uwe unafanya version 2, baada ya ile ya Kizungu kwa ku target international audience, ufanya na ya Kuswahili for home audiece ambao ndio wanaomatter zaidi
Asante.

Pasco
Pretoria.
 
Last edited by a moderator:
Inabidi Chadema PR section waende hatua zaidi ya hizi i-report za Mwanakijiji, say wafanye Exclusive Interview na CNN proper au hata major media house nyingine kama BBC au Al-Jazeera. Hizi i-report zina loopholes zinaweza kutumika na washindani wenu kama weakness.

Mimi nadhani sisi tunao pia wajibu, kama alivyofanya MM, kutafuta njia za kuwasaidia CHADEMA kujitangaza na kutangazika. hatuwezi kuwaachia kila kitu halafu sisi tunangoja tu kumega ile keki. at any rate, tayari impact ya action ya CHADEMA inaonekana (efforts za kupunguza bei ya sukari, etc.) na zitaendelea kuonekana. kwa upande mwingine, hao jamaa wa nje wanafuatilia sana haya matukio, rejea wikileaks kuhusu Hosea. tunachotakiwa kufanya ni kuintensify action. hao jamaa wanaweza kuja wenyewe action ikiwa more serious. lakini la muhimu zaidi ni kuhakikisha kwamba watu wa kawaida wanapata taarifa kamili, na hili ni kwa njia ya mawasiliano ya ndani. ni hawa watu wa vijijini wanaoweza kuleta ile kitu tunataka. na ziara hizi za CHADEMA ndio hasa zinatarget haya makundi.
 
Asante Mzee Mwanakijiji for this.
Nimeisikiliza interview yako japo mwishoni imekatika sijui ni pc yangu au ndio ilikuwa uploaded.
Mimi nina machache kuhusu mahojiano yako in pont format, kwanza ni pongezi, zitafuatiwa na critique.

Pongezi:

  1. Kwa kuanzia, its a good move, angalau tumemsikia kwa masikio yetu mawili Dr. Slaa mwenyewe akijieleza kwa kirefu.
  2. Umemuuliza hoja nyingi za msingi.
  3. Amejibu hoja zako kwa kirefu
  4. Nakupingeza wewe binafsi kwa initiatives kama hizi, ambapo sisi tulio nyumbani, ambako Dr. is reachable hatujaweza kufanya.
  5. Napongeza mtandao wako ambao sasa unaingia mpaka CCN i-report.
  6. Naomba zifanyike juhudi za makusudi, interview kama hizi, zitangazwe na vyombo vya nyumbani.
  7. Mwisho nasisitiza, nakukubali sana Mzee Mwanakijiji kwa vipaji lukuki, kuhoji ni kipaji ambacho tukikitumia vizuri, Tanzania will not be the same again.
Critique

  1. Umemuhoji Dr. Slaa as if he is your hero, hivyo umemuuliza maswali mapesi, mengi yakiwa ni leading questions hivyo kumpa mteremko wa majibu. Ningefurahi kama ungemuuliza maswali magumu zaidi ili asitoe majibu mepesi.
  2. Baadhi ya maswali yako yalikuwa marefu sana bila sababu na baadhi ya majibu ya Dr. yalikuwa ya kisiasa zaidi kuliko reality, mfano ulipomuuliza kuhusu kuwashwa kwa mitambo ya Dowans, ulitakiwa kumbana zaidi kuface the present reality.
  3. Baadhi ya majibu ya Dar, hayakukamilika ambapo wewe ulitakiwa kumshindilia maswali ya zida ili majibu yakamilike, mfano lile swali la kutoa ultmatum ya siku saba, ulitakiwa umumshindilie hizo siku saba zikipita bila kutekelezwa madai yao, then what?. Ama kwenye swali la katiba, jee ikifika 2015 mchakato wa katiba mpya haujakamilika watafanya nini?.
  4. Kuna swali hukumuuliza kabisa, ni la kuhusu Chadema kumtambua JK au kutomtambua, ila katika katika majibu mbalimbali ya baadhi ya mswali yako,Dr. Slaa ameonyesha 'impliedily' kuwa uchaguzi umekwisha, sasa tunasubiri 2015!.
  5. Ukifanya mahojiano mengine na watu muhimu kama hawa, uwe unafanya version 2, baada ya ile ya Kizungu kwa ku target international audience, ufanya na ya Kuswahili for home audiece ambao ndio wanaomatter zaidi
Asante.

Pasco
Pretoria.

Nakubaliana na wewe, lakini nadhani la msingi zaidi tunahitaji akina MM wengi zaidi wanaothubutu, wanaotoa muda wao kufanya vitu kama hivi. tunahitaji sana tena sana, ndio salama yetu eti! HONGERA MM!
 
Back
Top Bottom