Exam chief quits

macinkus

JF-Expert Member
Sep 15, 2007
260
19
Braza letu la mitihani limekua na kashfa kem kem kwa muda mrefu sasa. mara mitihani imevuja, mara vyeti vimeibiwa. suluhisho la tatizo hilo hadi leo halijapatikana'

wenzetu, matokeo ya mitihani imechelewa kutolewa. imebidi ajiuzulu. sijui lini tutakuja kufikia utumishi kwa umma ulio tukuka kama majuu. kweli waafrika ndivyo tulivyo. bofya hapo chini

macinkus
 

Attachments

  • EXAM CHIEF QUITS.doc
    25 KB · Views: 75
Back
Top Bottom