Ex wife wa tiger wood mzima kweli????

Loh, alikua mzima kweli?
Wakati nasoma nilijua anakusanya alafu anawapa aua hata anazirusha juu wagombanie.
Kweli wanadamu tunatofautiana.
Mzima kabisa Lizzy ila alisumbuliwa na sifa za kijinga, kuna siku moja police walimkuta amepaki gari vibaya wakamwuliza kulikoni?..badala ya kujibu akaanza kuchomoa noti moja, moja na kuzichana mbele yao, wakamkamata na kumsweka kwa masaa kadhaa ila walimwachia kwa nguvu ya pesa... Ila mungu alivyo wa ajabu alianza kuishiwa na kuuza kila kitu haikusaidia, mwisho wa siku akawa anatembeza viatu mjini tena anabeba mkononi na bado mungu akampiga fimbo, hivi yupo kibosho hana A wala Z, anakunywa mbege tu sasa. Mungu hajaribiwi ati.
 
Duh! She is a crazy women! Kwa nini alinunua kama alikuwa haipendi.
 
Lizzy, mateja yapo ya aina nyingi.
Na tatizo mastar wengi sijui kwa nini hawapati partners wenye akili. Sijui wanaokota vilabuni.

Ndo maana nampenda sana Victoria bekham anavyomsapoti mme wake hata kama kachemka

Na kweli aiseee.
Ila waharibifu hawapati mastar tu, nimetoka kuangali kipindi sasa hivi mama anafuja tu pesa ya mume wake kama hana akili nzuri, jeans ya dollar 260 haijawahi kuvaliwa bado lebel inaning'inia. Sema ndio hivyo, masikini hata kama anaiheshimu pesa kiasi gani bado haimtaki inakimbilia kwa wenye nazo.
 
Mzima kabisa Lizzy ila alisumbuliwa na sifa za kijinga, kuna siku moja police walimkuta amepaki gari vibaya wakamwuliza kulikoni?..badala ya kujibu akaanza kuchomoa noti moja, moja na kuzichana mbele yao, wakamkamata na kumsweka kwa masaa kadhaa ila walimwachia kwa nguvu ya pesa... Ila mungu alivyo wa ajabu alianza kuishiwa na kuuza kila kitu haikusaidia, mwisho wa siku akawa anatembeza viatu mjini tena anabeba mkononi na bado mungu akampiga fimbo, hivi yupo kibosho hana A wala Z, anakunywa mbege tu sasa. Mungu hajaribiwi ati.
Hahahaha alikua na sifa huyo anaonekana.
Basi ni mmoja wa wale watu wanaobahatika kuwa na pesa ila wanshindwa kuzimaintain. Huko kuchanachana hovyo hata kama angekua ana mabillion yangeisha eventually. Too bad hakua na mtu wa kumshauri au alikataa ushauri wao.
 
kitendo alichokifanya ni uwendawazimu haswa
kulewa pesa kunapelekea kufanya vitu vya ajabu
 
Mzima kabisa Lizzy ila alisumbuliwa na sifa za kijinga, kuna siku moja police walimkuta amepaki gari vibaya wakamwuliza kulikoni?..badala ya kujibu akaanza kuchomoa noti moja, moja na kuzichana mbele yao, wakamkamata na kumsweka kwa masaa kadhaa ila walimwachia kwa nguvu ya pesa... Ila mungu alivyo wa ajabu alianza kuishiwa na kuuza kila kitu haikusaidia, mwisho wa siku akawa anatembeza viatu mjini tena anabeba mkononi na bado mungu akampiga fimbo, hivi yupo kibosho hana A wala Z, anakunywa mbege tu sasa. Mungu hajaribiwi ati.

story imenikumbusha jamaa mmoja wa migodini alipata pesa akawa anazirusha juu watu wanagombania wengine wanakanyagana na kuumia yeye anawaangalia anacheka alikuja filisika hata leo hii sijui yuko wapi
 
Hahahaha alikua na sifa huyo anaonekana.
Basi ni mmoja wa wale watu wanaobahatika kuwa na pesa ila wanshindwa kuzimaintain. Huko kuchanachana hovyo hata kama angekua ana mabillion yangeisha eventually. Too bad hakua na mtu wa kumshauri au alikataa ushauri wao.
Amini Lizzy hakuwa mtu wa kupokea ushauri wa yeyote, mke wake alikuwa anakuja kila siku kwa mamangu huku akilia manake akitoa ushauri anaambiwa nyamaza wewe masikini mkubwa, huli?..huvai?..hulali?. Mamangu huwa ni mkali sana ila kwa huyo ndugu yake alinyoosha mikono! Aliamini pesa ndio kila kitu kwake akasahau kabisa habari ya kuishiwa... Sasa anasota sio mchezo.
 
story imenikumbusha jamaa mmoja wa migodini alipata pesa akawa anazirusha juu watu wanagombania wengine wanakanyagana na kuumia yeye anawaangalia anacheka alikuja filisika hata leo hii sijui yuko wapi
Ni yule Askofu au?
 
Mkwe usinikumbushe watu wa Mererani. . . .
Vijana hua wanazipata alafu mwisho wa siku wanarudi tena kuchekecha mchanga.
 
Amini Lizzy hakuwa mtu wa kupokea ushauri wa yeyote, mke wake alikuwa anakuja kila siku kwa mamangu huku akilia manake akitoa ushauri anaambiwa nyamaza wewe masikini mkubwa, huli?..huvai?..hulali?. Mamangu huwa ni mkali sana ila kwa huyo ndugu yake alinyoosha mikono! Aliamini pesa ndio kila kitu kwake akasahau kabisa habari ya kuishiwa... Sasa anasota sio mchezo.

Mbaya sana aisee. . . .
Hopefully wapo waliojifunza kupitia yeye.
 
Wamejifunza wengi mno, akitokea mtu anafanya kufuru kidogo tu anaambiwa unaanza kama flani eeh? Amesaidia watu wengine kuwa wastaarabu sana!
 
Safi kabisa.
Najaribu kufikiria mtu kama huyo akipata bahati tena anaweza akaichezea kama mwanzo ehhh? Labda atafikiria nilipata mara ya kwanza, nimepata mara ya pili hivyo hata nikichezea hizi zitakuja nyingine.
 
daah kufuru mbaya kabisa angewapa hata maskini waishi hapo na mungu angezidi kumbariki, nna mjomba angu alikuwaga ana hela sana, ikafika wakati akikutana na watu wanaomjua mahali popote anakusanya noti 5-10 za elfu 10 afu anazichana vipande, vipande, sasa hivi hana hata sh50.

God made man, man made money, money made man mad.
 
A fool is a fool! They never learn! Hujaona mjini hapa mtu anapata kazi nzuri ananunua V8 na kupanga mansion ufukwe wa kigamboni, anafanya party ya kuhamia nyumba ya kupanga? Analipia clowns wa fun city na mwalimu wa kufundisha watu kuogelea. Vipo mjini humu wifi! Na waliofilisika anawajua, sie twaenda kula mishkaki na kutambaa!
Mbaya sana aisee. . . .
Hopefully wapo waliojifunza kupitia yeye.
 
Chezeiya machalii wa mererani eh? How many times do they fall back and forth?
Safi kabisa.
Najaribu kufikiria mtu kama huyo akipata bahati tena anaweza akaichezea kama mwanzo ehhh? Labda atafikiria nilipata mara ya kwanza, nimepata mara ya pili hivyo hata nikichezea hizi zitakuja nyingine.
 
Safi kabisa.
Najaribu kufikiria mtu kama huyo akipata bahati tena anaweza akaichezea kama mwanzo ehhh? Labda atafikiria nilipata mara ya kwanza, nimepata mara ya pili hivyo hata nikichezea hizi zitakuja nyingine.
Asee huyu uncle kama angepata tena pesa angerudia mchezo wake wa zamani manake watu walimcheka na wanamcheka mpaka leo, so lazima angetaka kuwaringishia na kurudisha heshima iliyopotea. Watu wangekoma manake pasingetosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom