Ex wangu ananionea wivu...

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Jamani, Ex wangu ananionea wivu anionapo na wengine...! Je, hii ni kawaida? Nifanyeje; nimtungue, au?
 
duh...huyo inabid utueleze mliachanaje..mligombana? au mliachana kistaarabu? kama mligombana achana nae kama kistaarabu na huna mtu mwingine mtungue tu...lakini kumbuka..." za kupewa, chanyanya na zako"
 
Mlengeshe kwangu atakusahau na wala hata ona wivu tena :eyebrows::eyebrows:
 
We ndo ulimwaga ndo maana. Angekuwa yeye ndo alikumwaga asingeona wivu. Usithubutu kumrudia anatafuta njia ya kukumwaga ili ajione mshindi. Mwachwaji huona uchungu sana!
 
duh...huyo inabid utueleze mliachanaje..mligombana? au mliachana kistaarabu? kama mligombana achana nae kama kistaarabu na huna mtu mwingine mtungue tu...lakini kumbuka..." za kupewa, chanyanya na zako"

ex wake mwingine alikuwa bado anamtungua/anamla ndiyo sababu ya kuachana.
 
Back
Top Bottom