Ex-GF kajitangaza anao, napata kero vibaya

chrispin we acha Binamu usiseme haya mambo yasikie kwa mwenzio
Mtu B mwaya me am zea for u
count on my support please

Asante FL1 na wengine mnaonifariji hivi. Hata ule muda niliopanga kusubiri kabla ya kwenda kupima nimeufupisha nitakwenda soon. Next wk nina safari mkoa mwingine ya kikazi for 2 weeks, nitatumia mwanya huohuo kutembelea kituo cha VCT. Lakini bado najisikia sitaki nikutane na ninayemjua huko kituoni.
 
FYI: Ethics za upimaji VVU kwa kujitolea hazimruhusu mpimaji kufahamiana na mpimwaji. So ukikutana na anayekufahamu kwa kawaida huwa anakushauri ukapime kwingine.
 
Asante FL1 na wengine mnaonifariji hivi. Hata ule muda niliopanga kusubiri kabla ya kwenda kupima nimeufupisha nitakwenda soon. Next wk nina safari mkoa mwingine ya kikazi for 2 weeks, nitatumia mwanya huohuo kutembelea kituo cha VCT. Lakini bado najisikia sitaki nikutane na ninayemjua huko kituoni.

una uhuru wa kuchagua nani akupime Mtu B
for the god power hope you will be fine
 
we si ulikuwa unavaa sasa wasiwasi wa nini?we endelea na maisha yako,mwendo mdundo!!!
 
haendi mtu kupima VVU!...hata kwa bull-dozer
Si mchezo,sisi hakuna kukwepa maana nikiwa mjamzito ni lazima kupima for the sake of a baby.Nakumbuka nikiwa nasubiri majibu pressure inapanda na kushuka,yataka moyo kuambiwa una Ngoma si mchezo
 
Leo hapa ofisini nimewafuma watu wananisema vibaya.
Pole sana,kapime sehemu ambayo hujulikani kabisa,achana nao wao wanakusema je wao wanajua status ya afya zao?usijali KApime ili kuondoa wasiwasi .Nakuonea imani kweli
 
Pole sana,kapime sehemu ambayo hujulikani kabisa,achana nao wao wanakusema je wao wanajua status ya afya zao?usijali KApime ili kuondoa wasiwasi .Nakuonea imani kweli

Asante Mama 5J's. Nimechagua siku ya ijumaa 27 Novemba ndiyo nikapime, nimeshapata mahali ambapo ni mkoa mwingine na wanafanya kazi hata kama itakuwa sikukuu ya Idi el Haji siku hiyo, hilo nimeshahakikishiwa. Nimeambiwa kuna majibu ya awali na ya marudio. Hayo ya awali nitayatoa hapahapa siku hiyo. Nimeshajiandaa vya kutosha kisaikolojia, siogopi jibu lolote kwa sasa.

Nawashukuru wote ambao mmekuwa mkinishauri kibinadamu bila kunilaumu au kuninyanyapaa. Ijumaa hii tukijaaliwa inshaallah.
 
Pole sana,kapime sehemu ambayo hujulikani kabisa,achana nao wao wanakusema je wao wanajua status ya afya zao?usijali KApime ili kuondoa wasiwasi .Nakuonea imani kweli

da kweli Mama 5J's kweli sisi wanawake kwa hapo hatuna ujanja hata kidogo na majibu huwezi kuyakimbia
 
Keshokutwa kipimo bila kukosa. Tik tik tik......... I can't wait!
 
Mtu B,
nimeifuatilia hii thread toka mwanzo. Pole sana. Secondly, all the best. Naamini you are a genuine guy and you seem to care. You will get a muligan on this..trust me.
 
Keshokutwa kipimo bila kukosa. Tik tik tik......... I can't wait!

All the best Mkuu Mtu B
Cha kushangaza, ukishakuwa na ujasiri kama ulionao wewe sasa hivi, majibu ya aina yoyote kwako ni ushindi. Kwa sababu kwa hali ilivyo akili imeng'amua kuwa huwezi kubalidilisha hapana kuwa ndio na kinyume chake

My support on you mkuu!
 
kapime haraka sio unatueleza kwa kujitangaza, njoo na data ndio tutajua huna na sio kwa assumption tu
 
Back
Top Bottom