Ex-GF kajitangaza anao, napata kero vibaya

pole sana kwa yaliyokukuta.

binafsi naona kama hutaki kujitangaza ni poa tu kwani ni
uchaguzi wako kwani kujitangaza kwataka moyo.

nenda kapime kama ulivyoshauriwa kisha majibu bana nayo,
ila yatumie kujipanga kimaisha.

kuhusu hizo pole zikufikiazo kwa chaguo ni lako, waweza kujibu "asante",
au ukajibu "asante lakini nimesalimika" au waweza kutozijibu kabisa na
kuwaacha watumaji wajaze wenyewe.
 
Mkuu MTM hiyo niliyobold ndiyo ambayo siiwezi kabisa, naiona ngumu kupita kiasi wala sitaki kuifikiria. Unajua kila mtu na roho yake bana, kuna anayeona kujitangaza ana ngoma ni poa, lakini mie kweli siwezi hata kidogo. Kwani lazima anayepima ajitangaze? Au kwani ni lazima anayeunga mkono mapambano dhidi ya UKIMWI kwani lazima naye aseme anao?

Mdogo wangu, kuna point umemiss!!

Mimi hadi ninapoongea sasa hivi, jibu langu la mwisho kwenye PITC lilikuwa negative, lakini ndugu zangu kadhaa wamekuwa positive na nimewasidia sana kueneza elimu, na ninawaunga mkono. hii haina maana kwamba mie ni mgonjwa, lakini mimi ni muathirika (kwasabu nina ndugu waliopata HIV na wananiathiri katika maisha yangu kimipango), kwani ukiuguliwa pia wewe unakuwa umeathirika kwa namna moja au nyingine

Ndio maana nikasema majibu yawe siri yako na kwa watu unaowapenda tu!!

Unaweza kusaidia vijana wengi wanaojihisi wamepata HIV wakati siyo kweli simply kwa kujamiiana na HIV+ person!! Wewe utawapa moyo wa kupima! wewe huyohuyo utakuwa shuhuda kwamba there is always seocnd chance (for those who believe ulienda peku!!)

Ni wewe tu utakayetufundisha kwamba aliyeathirika pia anahitaji support katika kueneza elimu juu ya ukimwi

and above all, kwa mwanaume unaweza ku-nanihii na mwanamke muathirika bila kinga na bado ukawa na significant chance ya kuwa negative, ila hapa hatari moja kubwa ni kwamba huwezi jua kama utapona au la kwani hata kwenye statistics unapoambiwa kitu fulani ni safe kwa 99% someone maybe a victim of that 1% ambayo ni unsafe

MTM
 
kuhusu hizo pole zikufikiazo kwa chaguo ni lako, waweza kujibu "asante",
au ukajibu
"asante lakini nimesalimika" au waweza kutozijibu kabisa na
kuwaacha watumaji wajaze wenyewe.

Exactly!!!!!

Hili nalo neno la msingi sana
 
Mtu B ,kuhusu issue ya Mchumba ,usiwe na wasiwasi,ukipata or kama unaye tayari sijui,Mwanadada ambaye ni mature ataelewa tu,mkikaa chini mkaliongelea vizuri hakutakuwa na shida,haya yanapita yote.

Ni kweli kabisa ndugu yangu, ni kauli na uelewa tu!!! watu wangapi kila siku wanazushiwa tayari halafu kila siku wanaopoa ngoma za nguvu kitaa??

Cha maana mtu B baada ya kucheki status yake, atulie, awinde binti mmoja bora na atulie na mamaa

Haya mambo ya HIV are so complicated mpaka kuna wakati unaamini the world is not fair aisee, kuna dada nilisoma nae alikuwa genius na hakuwa kabisa kicheche lakini the first touch alipata, na miaka hiyo hapakuwa na hizi dawa kama sasa, basi we lost her

MtuB is lucky alitumia nnnnddddrrrondomm!!
 
Hapa kuna tatizo la watu kuwatangaza wenzao wameathirika bila hata ushahidi,,,,,
ndo wabongo walivyo....

Wapo watu wanatangazwa sio riziki mitaani
si afadhali ya wewe ya ukimwi waweza pima tu ikaisha.
 
Nawashukuru wote kwa ushauri, nitatafuta muda na sehemu muafaka ya kufanyia kipimo, na nitawashirikisha majibu hapa. Kwa kuwa hapa bado hakuna anayenifahamu kihalisi, bado si shida nikiwapa majibu whatever the outcome. Suala la kuweka majibu wazi hata kwa wanaonifahamu vema bado nahisi kwa sasa litakuwa gumu.

Huyo demu pia nitatafuta audience naye baada ya majibu kwa ajili ya kushirikishana, kushauriana na kupeana moyo kulingana na majibu nitakayopata.

Chungeni sana washkaji zangu, ngoma ni noma! Hapa sijui kama ninao au la, na tena sijatembea peku hata siku moja, lakini hicho kihoro ni usiseme! Ni balaa, amani ziro! Kama gharama ya kumega ndiyo hii, yaani basi watu wangu, sijui hata!
 
mie naomba nikushauri usiumie achana na maneno wala hizo simu unazopokea ona kawaida tu kwa vile status yako unaijua wewe

hamna mtu anayekujua wewe zaidi ya unavyojifahamu
 
Hapa kuna tatizo la watu kuwatangaza wenzao wameathirika bila hata ushahidi,,,,,
ndo wabongo walivyo....

Wapo watu wanatangazwa sio riziki mitaani
si afadhali ya wewe ya ukimwi waweza pima tu ikaisha.

the boss nachukia sana tabia hiyo harafu pia huwa tunafurahia pale mtu anapopata tatizo
 
Nenda kapime leo leo aisee! kama uko 100% umetumia Ndomu kila ulipokua naye kapime m2 wangu. Unajua watanzania wengi wanatabia ya kumwamini m2 baada ya kukaa naye kwa muda, so matumizi ya condom yanakuwa important wakati wa ''ndoa changa'' yaani kabla penzi halijapamba moto. Penzi likipamba moto Condom huwa ndio inasahaulika.
Jamani kwanini tusijenge tabia ya kwende Angaza kabla ya mahusiano? I wish I knew is only found in the dictionary of fools
 
Nawashukuru wote kwa ushauri, nitatafuta muda na sehemu muafaka ya kufanyia kipimo, na nitawashirikisha majibu hapa. Kwa kuwa hapa bado hakuna anayenifahamu kihalisi, bado si shida nikiwapa majibu whatever the outcome. Suala la kuweka majibu wazi hata kwa wanaonifahamu vema bado nahisi kwa sasa litakuwa gumu.

Huyo demu pia nitatafuta audience naye baada ya majibu kwa ajili ya kushirikishana, kushauriana na kupeana moyo kulingana na majibu nitakayopata.

Chungeni sana washkaji zangu, ngoma ni noma! Hapa sijui kama ninao au la, na tena sijatembea peku hata siku moja, lakini hicho kihoro ni usiseme! Ni balaa, amani ziro! Kama gharama ya kumega ndiyo hii, yaani basi watu wangu, sijui hata!

I can read exactly what is in your heart.......! Pole sana, wengi tulishakuwaga kny situation kama hizo na zikapita........! Life must go on no matter what!
 
Unajua watanzania wengi wanatabia ya kumwamini m2 baada ya kukaa naye kwa muda
, We sio Mtanzania?
so matumizi ya condom yanakuwa important wakati wa ''ndoa changa'' yaani kabla penzi halijapamba moto. Penzi likipamba moto Condom huwa ndio inasahaulika.
With experience au?
 
Pole kaka kwa yaliyokusibu!
Watu kukutumia sms, kukupigia simu ama vyovyote ni kwa kipindi hiki tu na kitapita hicho hakitalast forever, muhimu tulia kimya usiangaike kubisha.
Fanya unachokiona sahihi bila kuhofia watu watasema nini, kama upo teyari kwenda kupima nenda bila kuhofia wakiniona naingia kwenye vitue vya Angaza.
Ukitaka kushi ama kuwa vile watu wanataka waweza kuwa na wakati mgumu zaidi ya unavyoweza fikiri.
 
Nawashukuru wote kwa ushauri, nitatafuta muda na sehemu muafaka ya kufanyia kipimo, na nitawashirikisha majibu hapa. Kwa kuwa hapa bado hakuna anayenifahamu kihalisi, bado si shida nikiwapa majibu whatever the outcome. Suala la kuweka majibu wazi hata kwa wanaonifahamu vema bado nahisi kwa sasa litakuwa gumu.

Huyo demu pia nitatafuta audience naye baada ya majibu kwa ajili ya kushirikishana, kushauriana na kupeana moyo kulingana na majibu nitakayopata.

Chungeni sana washkaji zangu, ngoma ni noma! Hapa sijui kama ninao au la, na tena sijatembea peku hata siku moja, lakini hicho kihoro ni usiseme! Ni balaa, amani ziro! Kama gharama ya kumega ndiyo hii, yaani basi watu wangu, sijui hata!
chumvini je ulikuwa huendi?pia mlikuwa hambadilishani ndimi?hapa solution ni kupima tu ili kujua ukweli
 
chumvini je ulikuwa huendi?pia mlikuwa hambadilishani ndimi?hapa solution ni kupima tu ili kujua ukweli

Chumvini huwa nina kinyaa flani, so sijawahi kujaribu na mtu yeyote. Lakini hilo la kula denda kusema ukweli tulikulana kwa sana tu, tena yeye alikuwa na fantasy ya ajabu ya kupenda nimjazie mate yangu kinywani kwake kisha anayameza! Na hata huku naniliu alikuwa ananyonya hadi product zinakuja anazimeza, sijui alikuwa anafurahia nini. Tumejifunza mengi pamoja, ila hilo la chumvini sikufuzu.
 
hivi na nyie kwa nini mnapenda kupigana kavu?au mkitumia condom mnaona hampatai utamu?mambo mengine ni ya kujitakia haya
 
hivi na nyie kwa nini mnapenda kupigana kavu?au mkitumia condom mnaona hampatai utamu?mambo mengine ni ya kujitakia haya

Mkuu kama umenisoma tangu mwanzo, sijawahi kupiga kavu hata siku moja, siku zote nimepiga na ndomu.

Kumbe nikipima nikikuta ninao, watu kama wewe ndio mtaanza kunishutumu kuwa nilipiga kavu! Hii sio mwake kabisa mtu wangu, sio fresh wala nini
 
MTU B usihofu ukitaka kwenda kupima nitakusindikiza wala usihofu kabisa na wala usiwe na mashaka juu ya maisha yako
Lakini ni muhimu sana kupima rafiki
 
Nawashukuru wote kwa ushauri, nitatafuta muda na sehemu muafaka ya kufanyia kipimo, na nitawashirikisha majibu hapa. Kwa kuwa hapa bado hakuna anayenifahamu kihalisi, bado si shida nikiwapa majibu whatever the outcome. Suala la kuweka majibu wazi hata kwa wanaonifahamu vema bado nahisi kwa sasa litakuwa gumu.

Huyo demu pia nitatafuta audience naye baada ya majibu kwa ajili ya kushirikishana, kushauriana na kupeana moyo kulingana na majibu nitakayopata.

Chungeni sana washkaji zangu, ngoma ni noma! Hapa sijui kama ninao au la, na tena sijatembea peku hata siku moja, lakini hicho kihoro ni usiseme! Ni balaa, amani ziro! Kama gharama ya kumega ndiyo hii, yaani basi watu wangu, sijui hata!

Mtu B,

This is a very touching message aisee!!! Nakushauri ndugu yangu uombe mungu akupe ujasiri na majibu mazuri...

Usikate tamaa
 
Chumvini huwa nina kinyaa flani, so sijawahi kujaribu na mtu yeyote. Lakini hilo la kula denda kusema ukweli tulikulana kwa sana tu, tena yeye alikuwa na fantasy ya ajabu ya kupenda nimjazie mate yangu kinywani kwake kisha anayameza! Na hata huku naniliu alikuwa ananyonya hadi product zinakuja anazimeza, sijui alikuwa anafurahia nini. Tumejifunza mengi pamoja, ila hilo la chumvini sikufuzu.

Yaani kwa hapa tu hakuna kujisifia kuwa ulikuwa unatumia ndomu.
Kikubwa kama wenzangu walivyochangia hapo juu nenda tu kapime tena ni rahisi kingine kama ungekuwa karibu yangu ningekupa simple test ambayo hata wewe unaweza jipima na kujua kama pre test unao au laah.

Zaidi nakushauri acha kumshutumu huyo dada na kumbebesha dham bi bure ya kuwa amejitanganza hivyo na wewe unao.Kwanza inawezekana wewe ndo uliyemuambukiza kulingana na koment yako hapo.

Pia ni kupitia style ya ngono mliyokuwa mnafanya yaani Oral sex nao pia ni sehemu ya ngono zembe nakushangaa unavyosema kuwa ulikuwa ukitumia kinga.

kwa dada ambaye hana kinywa cha kumeza manii yako hata sucking yake pia huenda ilikuwa ni zaidi ya kisssing.

Kwa hapa tu naomba niishie hapo na kabla hujacoment na kuchangia chochote ni saidie hili hapa chini:

Una uelewa gani juu ya neno Ngono Zembe?
Je katika uelewa wako ni wapi VVU vinaweza kuingia kwa urahisi?

Kikubwa tu pole kwa yanayokukuta na pia muombe msamaha mdada wa watu na usiendele kumshutumu.

Tumsifu yesu kristu.
 
Chumvini huwa nina kinyaa flani, so sijawahi kujaribu na mtu yeyote. Lakini hilo la kula denda kusema ukweli tulikulana kwa sana tu, tena yeye alikuwa na fantasy ya ajabu ya kupenda nimjazie mate yangu kinywani kwake kisha anayameza! Na hata huku naniliu alikuwa ananyonya hadi product zinakuja anazimeza, sijui alikuwa anafurahia nini. Tumejifunza mengi pamoja, ila hilo la chumvini sikufuzu.

Mtu B wala usiwe na hofu, Ngoma sio big deal, watu kibao wanayo na wanaendeleza maisha kama kawaida. Wewe kapime ili ujue status yako then uangalie what next baada ya kujijua kama ni HIV negative au positive.
 
Back
Top Bottom