Ex- bishop sasa ni Raisi: Wanawake aliozaa nao wazidi wajitokeza!

A proper investigation should be carried out to find out how many women were tricked by his excellency and how many children have been born as a result.
 
Jamaa kaongea leo ktk TV kasema hatajiuzulu na kuomba radhi!

Sasa basi angeoa ili asitumie urasi wake ktk kuwazalisha zaidi wanawake wengine!

Inaonekana ni dhaifu wa akina mama!
 
Back
Top Bottom