Ewura

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,081
5,061
Juzi mmetimuliwa kwenze kamati za bunge kwa kushindwa kuonyesha mchanganuo wa posho zenu.
Niliwaambia kwenye banda lenu wakati wa sabasaba ya kuwa nyie ni highly paid ambao mnashindwa hata kuwatetea hao wanaowalipa.
Mmeshindwa kudhibiti uchakachuaji,mmesababisha nchi ikawa paralzyed kwa mgomo wa wauza mafuta.
Hamtusaidii kitu ni heri mngefutwa tu.
 
Ni kweli ndugu yangu. Sioni kazi yoyote inayofanywa na hawa jamaa. Hata dogo wa f4 angepewa hii kazi ya kupanga bei angeweza tu kwani anapewa frmula zote na internet kuangalia bei ktk soko la dunia basi. haikubaliki mafuta ya taa yanatumika kuchakuchua na wachakachuaji wanafahamika halafu mnaongeza bei kwa bibi,mama,babu zetu wa vijijini kana kwamba wao ndo wanachakachua. Bull shit EWURA hakuna mnachofanya.
 
Yaani nina hasira na hawa jamaa kwani ndo walipropse kwa serikali yao ya CCM kuongeza bei ya mafuta ya taa kwa kigezo kwamba yanatumika kuchakachuliwa. Siwapendi,siwapendi kabisa
 
Tatizo kubwa ni kuwa hawa jamaa wamekaa muda mrefu sana hapo, hawana kitu kipya cha kuongeza ufanisi wao . It is high time mabadiliko yafanywe kuanzia kwenye bodi yao mpaka lwenye management, Wamekaa muda mrefu mpaka wamejisahau!!
 
Back
Top Bottom