<br /><font color="#800080"><font size="4"><span style="font-family: comic sans ms">sasa wamewasumbulia nini wananchi.......wangetuacha kama tulivyokuwa.....tulishajizoelea sisi</span></font></font>
Serikali legelege ilijaribu kutaka kujitutumua mbele ya wananchi matokeo yake imeishia kuaibishwa na wauza mafuta. Chini ya siku saba tangu wauza mafuta walipolazimishwa kumaliza mgomo, Ewura wamepandishabei karibia na ile ya awali.
Hizi ni dalili za serikali kuzidiwa nguvu na wauza mafuta,si ajabu kukuta serikali iliwaahidi kupandisha bei ili kumaliza mgomo ndo maana wameipandisha haraka.